Chachasteven
JF-Expert Member
- Jul 4, 2014
- 1,941
- 2,048
- Thread starter
- #441
Siku ngapi zimebaki kweli?
kumbe uliniita? nipo my wiiiHivi yupo huyu bibie Binamu?
Happy Valentines Day to all Jf Members kwa ujumla wake bila ya kuwasahau
*jje's
*Toto Tundu Stunter
*Faiza fox (hasimu wa wengi a.k.a mama wa ujinga)
*Miss chagga (huyu kasema atawachuna wanaume mpaka mbaki mifupa kisa ile ada ya ex Bf wake)
*Asprin
*Mshana (nakuja kutibu kucha I see)
*Valentina (mamaa wa kulia ndani ya Range)
*HR66 (kuna kukosea na kusameheana,hata kama hujaomba msamaha nimekusamehe)
*ISIS
N.B na wengine wote nawapenda sana
mhhhhh, mbona una maneno sana na huyu bae wangu?Binamu shukrani sana, Happy Valentine's day to you too ila angalia usigonganishe magari, maana wewe nae umo
uwiiii, nilikuwa sijaona hapa my wiii,
happy Valentine to you too. I love you though you have something you are doing behind my back 😉
acha woga ...Hakuna binamu kuna kamsemo ka kiswahili chasema "jihadhari kabla ya hatari"mhhhhh, mbona una maneno sana na huyu bae wangu?
ndio nilikua namtahadharisha tunaachaje uoga kwa namna hii, yaan speed unayoenda nayo?![]()
![]()
![]()
acha woga ...
naachaje uoga kwa namna hii, yaan speed unayoenda nayo?![]()
![]()
![]()
acha woga ...
Hakuna binamu kuna kamsemo ka kiswahili chasema "jihadhari kabla ya hatari"mhhhhh, mbona una maneno sana na huyu bae wangu?
ndio nilikua namtahadharisha tumhhhh sikuamini kihivyo ila ngoja nioneHakuna binamu kuna kamsemo ka kiswahili chasema "jihadhari kabla ya hatari"![]()
ndio nilikua namtahadharisha tu
mhhhh sikuamini kihivyo ila ngoja nioneHakuna binamu kuna kamsemo ka kiswahili chasema "jihadhari kabla ya hatari"![]()
ndio nilikua namtahadharisha tu
Speed ya chura hii isikutishe kuruka hapa kuruka kulenaachaje uoga kwa namna hii, yaan speed unayoenda nayo?

Speed ya chura hii isikutishe kuruka hapa kuruka kulenaachaje uoga kwa namna hii, yaan speed unayoenda nayo?

Always Dearkumbe uliniita? nipo my wiii
Endelea kuona wengine wanatumia!.mhhhh sikuamini kihivyo ila ngoja nione
hujambo lakini? niliwazia nyumba ambayo ishapauliwa karibia nije gheto.Endelea kuona wengine wanatumia!.
Hahaha!.sijambo buana,kuhusu nyumba usiwaze.One night with me ntakupa tena yenye bati.hujambo lakini? niliwazia nyumba ambayo ishapauliwa karibia nije gheto.
Ndege hufanano huruka pamojanajua mmeshaweka booking kama nawaona hiviii afe kipa afe beki ...