Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Naona unavopanga kuchepuka sikuhiyowaoooo, yaan hiyo siku itakuwa very spesho zaidi ya leo nahis. Nimekuzoea but the day I promise to bring some new ideas and wot wot.
Naona unavopanga kuchepuka sikuhiyowaoooo, yaan hiyo siku itakuwa very spesho zaidi ya leo nahis. Nimekuzoea but the day I promise to bring some new ideas and wot wot.
Shukrani mpendwa, na kwako pia.
Angalia usije ukakuta mwingine anampangia pia.Nawaza tu....Mimi ndio bado nampanga mama la mama nanihiii
Hebu tumuulize Heaven SentParty wapi sasa?
Cool Nzagamba...Hey Muree...what up..?
Naanzaje jmn ValeNaona unavopanga kuchepuka sikuhiyo
Halafu nini kujificha hivo lakini?Teh!, Vale una bahati kaka zangu unaowapenda ni mwendo wa ma Range tu. 🙂
Halafu nini kujificha hivo lakini?
Sijui nikununie
Unaanza kwa kutaka kulia kwenye nanii ile anayoipenda vale.. kuliko kucheka kwenye bajaji.Naanzaje jmn Vale
Pole sana mkuuNgoja mie nikae pembeni, jana tu nimeumizwa moyo wangu, wala sina muda kabisa, bora nichape kazi kwa kwenda mbele.
Kama nakuona unavyoitoa pole,umehai kukumbana na ii kitu nini?Pole sana mkuu
HahahaNakuona nakuona
Mubashara!.Nakupenda kila siku Sky Elcat sio mpaka Valentine
Hahaha!.but u now know,sio?Kuishi kwangu kijijini kuliathiri sana, tulijua Kombolela hatukujua kuhusu Valentine.