uwiiii unamsingizia
Numbisa
Kweli kabisa ananisingizia kwanza kabisa sikuwepo eneo la tukio ila alinitumia huu ujumbe ati ndio ngao yake
Swali mubashara eti nani bwege hapo?
Mkuu
Numbisa njoo mwenyewe useme ukweli wako hapa najua utanisaidia.
Valentina ukiona vinaelea vimeundwa jamani. taratibu na barua zako , duuuuh