Valentines Special Thread 2017

Valentines Special Thread 2017

we belong togethr, and know that Am riiiight.
Why do you play with my heart why do you play with my mind???
Said wed be forever, said it never die, how could you love me and leave me and never say goodbyee....
When I.......?that nigh without holdng you tight...
Girl each time I try i just brake down and cry.....
Pain in my head ooh Id rather be died jje's.......
Ndo umesemaje sasa apo?

espy hebu ukuje fasta mkalimani wangu
 
Will you love me again like you loved me before?
this time I want you to love me much more...
this time instead just come to my bed
and baby just don't let me doooown
you know me well, i can not let you down kabisa.
Believe me.
 
3bb1037d881b6bf03ef8bc408b4a6685.jpg
Dooh!.nadhani watu wameshazoea,maana cku izi hawawazi kabisa kua heart broken labda stunter na valentina ndo hawajazoea.
 
Wadau mwezi wa pili ni mwezi wa kuonesha upendo kwa uwapendao(mwezi wa wapendanao)
Uzi huu una kupa nafasi ya kuweka neno lolote linalohusu upendo,picha,quotes kuenzi mwezi huu
Mimi ninaanza na hii:
1."Upendo haukosi kuwa na adabu,haujivuni....
2."Love is two ways direction"
3.Love is love asee.Nawaza tu.
 
Dooh!.nadhani watu wameshazoea,maana cku izi hawawazi kabisa kua heart broken labda stunter na valentina ndo hawajazoea.
haaaa, umesema Stunter na nani?

Niombe msamaha haraka.

STUNTER bby umeanza lini tena na Valentina?
 
yaan hubby niambie tu ukweli wewe na Vale mna mpango gani? naomba maelezo kwa maandishi.
Hatuna uhusiano wala mpango wowote, labda itokee tu... Valentina alitaka nimuazime chaja yangu ya simu. Tatizo nikimwazima anachelewa sana kuirudisha, kwahiyo nimemnyima. Mashahidi zangu ni Bonny na Raimundo

Hii ndio kisa na mkasa... au unasemaje mama, nimwazime au umeridhika na utetezi wangu??
 
naomba unieleze kwanza itokee nini? nitakujibu baada ya hapo
 
Hatuna uhusiano wala mpango wowote, labda itokee tu... Valentina alitaka nimuazime chaja yangu ya simu. Tatizo nikimwazima anachelewa sana kuirudisha, kwahiyo nimemnyima. Mashahidi zangu ni Bonny na Raimundo

Hii ndio kisa na mkasa... au unasemaje mama, nimwazime au umeridhika na utetezi wangu??

Ha ha ha, huu utetezi mi naomba nije nitoe ushahidi baada ya kuona Bonny alichosema.
 
Back
Top Bottom