Uzuri wa mwanamke upo wapi? Ni upi?

Uzuri wa mwanamke upo wapi? Ni upi?

Kwetu sisi wabongo usafiri ni kiungo muhimu sana kwa mwanamke... usafiri mzuri unampa uhuru wa kuchangua nguo za kuvaa kwa amani sana, kinakufanya ujiamini zaidi barabarani, hata kwa wanawake wenzio.......... la sivyo utasikia, huyu naye, milonjo mibaya kama nini na haoni hata aibu kuionyesha!!!!!!
 
Mkiamua kujadili kila kiungo chetu, hamtomaliza. Na hata mkimaliza hamtopata jibu sahihi.

LOL....pole sana honey. Ndo hivyo tena, dunia imefikia hapa tulipo.... Leo tutajadili miguu, kesho tutahamia kwenye macho, then makalio, halafu meno, kisha kucha, then nywele, tukitoka hapo tutarudi kwenye sura. Sijui kwanini Mikono haijadiliwi, wala masikio wallah...sijui imewakosea nini wanaume wenzangu.

Lakini mwisho wa siku ukweli utarudi palepale, uzuri wa mwanamke uko ndani ya mwanaume amwonaye mzuri....Kwisha habari yake!
 
KakaJ ntake radhi la sivyo naandamana kwa miguu from Ar to huko uliko, nkifika ndo utajua kama miguu yangu ni mibovu au la!

Thanks for the Info Sweetie. Nikipata nauli ntakuja Arusha. Naamini utakuwa mwenyeji wangu.
 
PHP:
Utamu wa mashine ni relative term. Ni suala la kisaikolojia zaidi.  Ukishapenda, regardless of anything, mashine itakuwa tamu. Utamu wa ile  kitu si sawa na sukari, kwamba ina ladha moja....Utamu hutegemea na mtu  na mtu.....yaweza kuwa tightness, joto, namna anavyoitumia, miguno  anayotoa, caressing, positions et el.

Kama mimi sina mahaba na miguu, haimaanishi mwanamke akiwa na miguu  mizuri lazima atanipa utamu wa mashine yake kitandani...NO WAY!....babu  anarudia tena....MIGUU SIYO KIGEZO CHA UZURI/UTAMU WA MWANAMKE.

Babu anarudi kitandani kuuangalia uzuri wa sura ya bibi yenu.

Asprin umefunga mjadala..............sijui kama kuna la kuongeza...............................ukisha penda chongo utaita kengeza...................
 
Wewe tena? Ya kurudi ntalipa mimi honey!

Babu anayaweka hayo moyoni mwake wakati akielekea kitandani kupumzika.

Muwe na siku njema wapendwa.

Wikiendi iwe ya amani.

Mtumie vikojoleo vyenu kwa makini visije vikawaleteeni maswahibu.
 
PHP:
Thanks for the Info Sweetie. Nikipata nauli ntakuja Arusha. Naamini utakuwa mwenyeji wangu.

Kumbe SweetLady yuko A-Town unaweza kukuta tunapigana vikumbo bila ya kujijua wana JF..........................
 
PHP:
KakaJ ntake radhi la sivyo naandamana kwa miguu from Ar to huko uliko, nkifika ndo utajua kama miguu yangu ni mibovu au la!

Ikifikia huko itabidi nikubebe ili usichoke............................hadi umfikie..............................
 
PHP:
[B] 			[IMG]https://www.jamiiforums.com/images/icons/icon1.png[/IMG] Re: usafiri wa mwanamke.......kipimo cha uzuri wake? 		[/B]

 		 				 				 		 			 				 					Kwetu sisi wabongo usafiri ni kiungo muhimu sana kwa mwanamke...  usafiri mzuri unampa uhuru wa kuchangua nguo za kuvaa kwa amani sana,  kinakufanya ujiamini zaidi barabarani, hata kwa wanawake  wenzio.......... la sivyo utasikia, huyu naye, milonjo mibaya kama nini  na haoni hata aibu kuionyesha!!!!!!

What more should I add..............................
 
PHP:
hata mi nimesikia hivyo japokuwa sikufanyia utafit so inawezekana

Tunasubiri matokeo ya utafiti wako
 
we acha tu....em ngoja niangalie miguu yangu then niende room nijiangalie undani wangu kama naweza gundua kitu.....kazi kweli kweli....:A S 39:

Miguu yako wacha tu mi ntawambia ambaye naijua uzuri mana ww ukisema watasema unajifagilia..jamani wadada mkipendwa mnakua wakali tuko wawili tu hapa duniani nyie na sisi basi!! tupeane na tupendane jamaa............
 
Tunashukuru kwa ushauri babu yetu. Tutazingatia saaaana ulichotushauri. Uwe na wikiendi njema pia! Helow to our lvly bibi!
Babu anayaweka hayo moyoni mwake wakati akielekea kitandani kupumzika.

Muwe na siku njema wapendwa.

Wikiendi iwe ya amani.

Mtumie vikojoleo vyenu kwa makini visije vikawaleteeni maswahibu.
 
PHP:
Ni lini utaweka picha ya avatar wako humu SweetLady?

PHP:
Unapenda avatar eeh? Ntaweka usijali.

I can't wait to visualize it...............................avatar inazungumza mengi ambayo kalamu haiwezi kuanika humu jamvini..................
 
Back
Top Bottom