Uzuri wa mwanamke upo wapi? Ni upi?

Uzuri wa mwanamke upo wapi? Ni upi?

wewe huwa unaona wote ni wabaya? Na ka umebaini uzuri what do you consider?
 
Uzuri wa mwanamke unatofauti na mahitaji.
Unapohitaji wa kuoa hapa uzuri una base kwenye tabia.

Ila kama ni tamaa tu waku enjoy nae tu kwa muda hapo unaangalia sura,umbo,fedha n.k
 
Inategemea unataka kuoa au kuchezea!kama wa kuoa ni tabia, wakupiga tu mara moja moja kuna vitu vingi sana vya kuangalia binafsi napenda sana wenye bodi kubwa na wanao vaa shanga.
 
Kwanza nikutahadharishe beauty is relative,

Bali kwangu mwanamke mzuri hutoka kwa BWANA YESU,

Pili mwanamke mzuri ni tabia,wengine huangalia vitu vya nje,
 
Muonekano wake kuanzia sura,na shepu kwa jumla,anakua mzuri kwenye macho ya anayemtazama,finishng yake ya ukweli..mengine ya ndani huwa yanahitaj muda..kujua tabia nk..na kwa kwel akiwa na tabia njema uzuri wake unazid mara dufu..ntarud midamida.
 
uzuri wa mwanamke ni kufuga kucha ndefu zinazomshinda kusafisha,kuvaa mawigi hadi yanuke,kujichubua afanane na mzungu,kua na nyodo,kujinunisha,kupaka rangi tofauti mdomoni na machoni,kuvaa kimin chenye mpasuo,kutooga bali kunawa uso,miguu na mikono,kuwa na lugha chafu,kunuka kikwapa,kutonyoa,kujishaua,kujifanya matawi ya juu wakati yeye matawi ya chini,kushinda club analewa,nk.hizi ni baadhi ya sifa mbaya.mia
 
Kila m2 ana vigezo vyake anavyovifahamu yeye binafsi na vinaweza visilingane na vya mwingine...Ndio maana wewe unaweza kusema cha nini? Na wenzako wanawaza watakipata lini?Wapo wanaoangalia sura,umbo,rangi,uwezo wa kifedha,kazi,elimu n.k. Ila tabia njema ndio msingi wa yote..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom