post #51 sorted.
...lol...hapana bana, namaanisha najipa muda kumjua mtu than 1st appearance...he he
...ila huyu kwa mtazamo wa kwanza tu najua ni mjeuri, ona kimdomo chake!
Umenikumbusha tukio moja lilimkuta my all time hero Bob Marley akiwa kwenye kiwanja kimoja cha ndege huko Marekani;Aliingia uwanjani hapo na kumkuta miss amerka amekaa,Bob alimsalimia miss yule lakini hakuitikia,mwanaume hakujali akaenda zake kusubiri ndege,ghafla watu wakajaa kumuangalia Bob pamoja na kupiga nae picha,yule miss kuuliza kulikoni akaambiwa huyo ni Bob akashangaa,ndipo akadai alikuwa hamjui kwa sura(alidanganya)ndipo aliomba aonane na Bob,Bob alipoambiwa akasema nilimsalimia mimi kama binadamu wa kawaida hakuitikia sasa kaona umaarufu wangu ndo ananiona wamaana?Nitaonana nae nikija tena lakini sio leo kisha Bob akachapa lapa!!!!Hii kitu imenikumbusha nisha wahi itwa ofisi moja nikiwa msibani kati kati ya shuguli za sie akinia mam... Huyo nikachomoka na kuenda moja kwa moja katika hio ofisi kubwa hapa mjini... Well kufika hapo huyo dada alinipokea kwa pozi mno kana kwamba she is doing me a favour, kisa nimevaa Dera na vilemba... The next time (a week later in fact...) nikaenda ofisi hio hio kwa dada yule yule (nikiwa nimevalia kimjini mjini...).... alivyonipokea/ku smile na ile ya slight kunyanyuka as if her world revolved around solving my problem.... Yaani alikua amenisahau kabisa kua ndie yule ali mistreat just a week before.... yaani hata sikuangaika kumkumbusha....
Tuko wakikusikia watakushtaki maana wako wengi akina " am handsome meeen"Alafu maHB wengi hawawezi kazi...
I am impressed with 51... Impressive results sasa...
Na hio picha ya Rihana, perfect... Of coz haka kabinti ujeuri umo
Hizi pesa ndefu za utoto hizi wewe acha tu! Mtu mzima mwenyewe inakujenga kiburi!
But hata hivo bad enough.... she is the type of gal you would still worship!
Hata Wycleaf hawezi bisha hilo.... lol
Na mara nyingi mtu analazimika kuwa mjanja kutokana na shida anazokutana nazo. Dar kuna shida nyingi sana?
Mbu naona na wewe ushaanza kujudge book for its cover sasa
Kimdomo tuu umeshamjua ni jeuri
Alafu maHB wengi hawawezi kazi... ?
Bora aise kuwa mbali na shari kama inaepukika
BAN upigwe kwa kosa gani? Kwani uongo? Kaupata koz he is handsome for real, and in addition to that inasemekana 100% kubwa ya kura zake alipewa na wanawake.Magulumalu naona tu wanitafutia BAN hapa....lol... Sio kweli bana ila tu wale viti maalum..... mmmmmh!!!
Umenikumbusha tukio moja lilimkuta my all time hero Bob Marley akiwa kwenye kiwanja kimoja cha ndege huko Marekani;Aliingia uwanjani hapo na kumkuta miss amerka amekaa,Bob alimsalimia miss yule lakini hakuitikia,mwanaume hakujali akaenda zake kusubiri ndege,ghafla watu wakajaa kumuangalia Bob pamoja na kupiga nae picha,yule miss kuuliza kulikoni akaambiwa huyo ni Bob akashangaa,ndipo akadai alikuwa hamjui kwa sura(alidanganya)ndipo aliomba aonane na Bob,Bob alipoambiwa akasema nilimsalimia mimi kama binadamu wa kawaida hakuitikia sasa kaona umaarufu wangu ndo ananiona wamaana?Nitaonana nae nikija tena lakini sio leo kisha Bob akachapa lapa!!!!
Mahali pa heshima ni heshima tu!Mambo mengine baadae,kama niko sawa huyo ndo mama yake Damian Marley!!aaiiseee Bob itakua ilimboa saaana.... Jamaa alikua anapenda wanawake wazuri huyo....lolMpaka kukataa kuonana nae?? kweli he was pissed off!!
BAN upigwe kwa kosa gani? Kwani uongo? Kaupata koz he is handsome for real, and in addition to that inasemekana 100% kubwa ya kura zake alipewa na wanawake.
Mbu naona na wewe ushaanza kujudge book for its cover sasa
Kimdomo tuu umeshamjua ni jeuri
I am impressed with 51... Impressive results sasa...
Na hio picha ya Rihana, perfect... Of coz haka kabinti ujeuri umo
Hizi pesa ndefu za utoto hizi wewe acha tu! Mtu mzima mwenyewe inakujenga kiburi!
But hata hivo bad enough.... she is the type of gal you would still worship!
Hata Wycleaf hawezi bisha hilo.... lol
Natamani mawazo ya mama nyumbakubwa,king'asti na mchungaji Masanilo!We need their thought!!
Adi nimekuelewa, bt acha nipingine na wewe hapa unaposema hao std 6-7 bora hata mabinti bt isiwe kwa boys.Kifupi both wanakua psychological affected bila kuangalia jinsia zao!Na hii inakwenda mpaka kwa hawa ninaofundisha mimi yani wa sec, unakuta smtym mtoto mwenyewe akawa anakutongoza bt ukifikiria madhara ya tendo hilo kwa mwanafunz ni makubwa.Labda ni hitimishe tu kwa kusema kwamba utanashati,mavazi na muonekano ni jambo la muhimu na la lazima bt kwa baadhi ya kazi kuna matatizo yake na ndio hayo nilikwisha kueleza page # 4.Naomba nisamehe kwa kukukwaza.... BUT katika hilo kundi la walimu nilozungumzia sikuku consider kabisa maana ungekua na hizo tabia wala usingegusia katika post yako ya awali kua hupendi.... Ni kwamba tu nilieleza my genuine view ya mawazo yangu juu ya hao walimu majority... Thus I AM SO SORRY.... Hata hivyo bado nasimamia amani yangu kua wengi wako hivyo....Hapo nilipo color.... hayo ni maoni yako sabau una utu na you understand madhara na hatari yake..... Mimi na wewe twaelewa Wazi kua wapo wengi wanachukulia advantage ya hio age.... acha tu wa form 4 ambae ndo kakomaa kabisa katika hio sector na anashindana na watu wazima - nafikiri ndio hata tangazo la FATAKI ilisukumwa na hio ya underage children kuji indulge katika Sex tokana na vishawishi vidogo vidogo.... It is Sad kweli .... Na hao wanao wapa penzi wa Standard 6-7 ndio huwaaribu kabisa hawa watoto Psychologically - bora hata kwa mabinti, But mtoto wa Kiume, yaani his Psychology mara nyingi totallly distroyed in the sense of life, kujitum, mapenzi and outlook in genera....
Bora nimekuona!Inaonekana ulikua bize!Karibu!mbu,hapo airport tena wakileta kiswahili chao unawasha moto wanakuwa wanaogopa na kuanza kukuambia kama nakujua vile....its all abt commanding the respect u want,i tell u! kha!
Daahhhh, hapana kabisa. Kasura kake kananichefua, with make up or without.
Back to Topik...
Naamini wengi wenu mshapata bad experiences pale Dar Airport,....wakati wa check-in...jamaa watakupekua passport weee as if umefoji Viza,...na siku ume land, Jamaa wa Customs watakupekuwa weeeee as if umebeba unga!...dawa yao ni kuwa smart na kuongea ung'eng'e au nini?
Bahati nzuri sijawahi pata bad experiences [sijui ni hiki kitambi na upara?], lakini huona wenzangu wanavyosumbuliwa aisee, aaahh..
siku ingine ukinisaka umuombe wifi yangu anistue,lol!well,kwa mawazo yangu,niliwahi kusema hapa kuhusu kuvaa high heels kuongezea flava kwenye muonekano. i think its all about how u carry urself around.kama ukivaa sura ya kujiamini hata kama hauko mzuri kiviile utapata attention.inafurahisha kuona ukiwa tofauti na watu wangevyotegemea uwe kutokana na nafasi yako,wanaishia kudhania kuwa wewe sio mtz na kukuabudu tu! if u command respect and attention u will get it where u deserve it. well,hata kama muonekano wangu ni tofauti interms of urembo ama mavazi i will demand my well deserved attention na patachimbika! just dont outdo urself usije ukawa too out of place,bt be urself,who cares!
Adi nimekuelewa, bt acha nipingine na wewe hapa unaposema hao std 6-7 bora hata mabinti bt isiwe kwa boys.Kifupi both wanakua psychological affected bila kuangalia jinsia zao!Na hii inakwenda mpaka kwa hawa ninaofundisha mimi yani wa sec, unakuta smtym mtoto mwenyewe akawa anakutongoza bt ukifikiria madhara ya tendo hilo kwa mwanafunz ni makubwa.Labda ni hitimishe tu kwa kusema kwamba utanashati,mavazi na muonekano ni jambo la muhimu na la lazima bt kwa baadhi ya kazi kuna matatizo yake na ndio hayo nilikwisha kueleza page # 4.