WomanOfSubstance
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 956
Nimeobserve hili swala kwenye banks nyingi hapa tanzanzania.
Wanaume watanashati, wenye mvuto na tena wakiwa weupe ni an added advantage ya kupata kazi.
Rejao
umenikumbusha kitu.Miaka ya nyuma mashirika mengi ya kimataifa yalikuwa yanaajiri sana receptionists point 5/ machotara au weupe! Pia mashirika ya ndege etc. Msishangae sana akina dada wanapojipodoa kwa mikorogo jamani moja ya sababu ni "kukubalika". Japo siku hizi vigezo vya urembo hasa kimataifa vimebadilika kwa kuwaingiza akina Alek Wek ( wasichana weusi tii) kwenye fani.