Uzinduzi wa Studio mpya za Azam Media

Uzinduzi wa Studio mpya za Azam Media

Bado anachangamoto ya ziada kufika alipo ITV kwa kua kwanza Azam TV wao wanapatikana katika vizimbuzi vyao tu tofauti na hao ITV wanaopatikana karibia kila kizimbuzi cha hapa nchini

Tatizo naloliona Azam Tv ni kwamba hawatakuwa wakiweka mezani mada ambazo jamii inataka kuzisikia, mfano matukio ya mwaka huu kama mambo ya katiba pendekezwa, uchaguzi mkuu, daftari la kupigia kura n.k, tatizo lao litakuwa ni kuleta studio wadau wa pro sisiemu badala ya neutrality. Nihisivyo mimi, Azam grp kuna kau-sisiemu.
Ambaye atabisha na kudai nimeleta siasa humu, GO AND EAT A D***!
 
hahaaaaa usipate presha mtotooo.... Kwani umeambukizwa... Umenasa... Usijali dozeeee skuizi inapatikana bila sheeeda.. Mpe mkulu 0715... Hiyooo na maisha yako yaende vizuri tu.

Mama'ko umemuuliza anatowa au kwenu kawaida hiyo? najuwa watoto wa Sunday school haiwapi shida hiyo.
 
mama'ko umemuuliza anatowa au kwenu kawaida hiyo? Najuwa watoto wa sunday school haiwapi shida hiyo.

hahahaa kumbe ndo watoto wako nao wamekurithi.... Looooh pole.....
...kuna mtu kanitonya hapa eti anakusifia kwa uhodari wako wa 0715....
Nlitaka nitume maombi nitesti mzigo... Lkn nimestuka... Ntauangalia kwa macho tu intosha...
 
hahahaa kumbe ndo watoto wako nao wamekurithi.... Looooh pole.....
...kuna mtu kanitonya hapa eti anakusifia kwa uhodari wako wa 0715....
Nlitaka nitume maombi nitesti mzigo... Lkn nimestuka... Ntauangalia kwa macho tu intosha...

Wewe mwenyewe unaonesha ni mtoto wa watu, kuna mwanamme akaongea kijinga hivyo?
 
wewe mwenyewe unaonesha ni mtoto wa watu, kuna mwanamme akaongea kijinga hivyo?

aka!!! Afu unaonekana ni m'bishi we mtoto... Loh!! Inawezekana hata kwenye kamchezo utakuwa hukubali weye kupigwa bao 3.
Hebu pumuzika kwanza loh... Aka!!!!
 
aka!!! Afu unaonekana ni m'bishi we mtoto... Loh!! Inawezekana hata kwenye kamchezo utakuwa hukubali weye kupigwa bao 3.
Hebu pumuzika kwanza loh... Aka!!!!

Kuna mwanamme akaitwa Mwalla? nipishe huko, usinchafuwe roho saa hizi.
 
Umenena mkuu!wengine ni kutafuta sifa tuu eti wamesaidia jamii kwa kuwapa ubwabwa diamond ukiuliza ajira,kodi anazolipa hakuna


Hivi nyoka mwenye makengeza hawezi kuwa mmoja wa mabilionea TZ?
 
aka!!! Afu unaonekana ni m'bishi we mtoto... Loh!! Inawezekana hata kwenye kamchezo utakuwa hukubali weye kupigwa bao 3.
Hebu pumuzika kwanza loh... Aka!!!!

Kwa nini unasumbuka na kikogwe namna hii.,
 
Tena Hapo NSSF Kwa Dr. Dau Ndiyo Balaa Bora Hata Ya ( Azam/Wadini Media ).Kwa Dau Ukifika Tu Kuuliza Kutuma Maombi Kwanza Pale Pale Mapokezi Unaulizwa Swali La Kizushi La Kuhusu Jina Lako Na Ole Wako Uanze Kusema Naitwa Frank Utaona Jinsi MIMACHO Inavyotolewa Kwako Lakini Ukitaja Jina La Nabii Suleiman Utaona Unavyopokelewa Kwa Bashasha Na Unaweza Hata Ukapewa Na Nauli Ya Kurudia. Ukweli Ndiyo Huu Hata Kama Mtachukia! Mimi Nawapasulieni Tu Ukweli.
Pole Mkuu huo ni msongo wa mawazo baada ya kukosa ajira usikate tamaa utapata kazi komaa!
 
Zinafunguka wapigie simu wakuhamishie azam play by default wameweka watu wote kwenye 15000. Mie nazipata baada ya kahamishiwa azam play

Bado kifurushi changu cha mwezi wa 2 hakijaisha, hivyo bado napata zile chaneli zote 61, je kwenye hiyo Azam play, wameweka chaneli zipi? Na je kuna jipya lolote?
 
Kumbe Wenye Tabia Za Kuwa Na MAJIPU ( SIFA / UFAHARI ) Mpo Wengi!
ufahari ni upi hapo ?!kuangalia DSTV au citizen kuongea kiswahili fasaha?!Kama kuangalia DSTV ndio unatafsiri ufahari u need medication
 
Umeandika vizuri sana kasoro hapo ulipomwingiza Kikwete.

Huo ni ujuha wa hali ya juu kutaka kutia siasa katika mambo kama haya.

Kikwete kawakaa sana rohoni, hakiwapiti mpaka mumtaje! Mnanshangaza!
kama ilivyowakaa jina Lowassa/Mbowe/Dr.Slaa pamoja na Chadema!
 
Tido Mhando ni muislam?mbona huulizi kwanini ofisi za LHRC pale kijitonyama waajiriwa wote ni wakristo???
Nampongeza sana kwa kweli kwa huo uwekezaji.
Ila nasikia katika kuajiri kuna ka ukweli kuwa eti kama wewe sio Timu Barakashia ama sio Timu hijabu hupati kazi.
Nasikia wale wote wauuza ICE CREAM kwenye vitoroli wote ni Timu Barakashia. Nitaanza utafiti wangu kabla ya kununua nitakuwa namuuliza muuzaji jina lake, halafu nameza, nikifika pembeni kidogo naandika kwenye kitafutari changu cha mistari mikubwa na midogo.
Nasikia kwa upande wa TIDO MHANDO ilikuwa haina jinsi, japo nasikia kulikuwa na ubishi sana, wenzetu wengi walipinga MGALATIA kupewa hiyo nafasi. Lakini mauwezo yake ndo ikabidi wamuweke, baada ya kufanya vizuri BBC, TBC MCL. Kiukweli jamaa ana uwezo. Nasikia SALIM KIKEKE akiondoka BBC atakuja kuchukua nafasi hiyo.
 
Ila Mwambieni Huyo MSHAMBA Yahaya Mohamed Ambaye Ndiyo Bosi Kwa Wanahabari Hapo Aache Tabia Yake Ya Kujisikia ( MAJIPU ) Hadi Kufikia Kusema Kuwa Hapokei Simu Na Hata Ukimpigia Simu Inaita Tu Na Hapokei Awe Anakujua au Hakujui. Huyu Jamaa Tokea Apate Shavu Hapo Kwa ( Azam Media ) Amebadilika Mno Na Si Yule Yahaya Mohamed Niliyemwacha SAUT 2009 Na Hata Alipokuwa Hapo Sahara Media Ada Estate Jamaa Alikuwa Mtu Poa Na Bonge La Homeboy ILA Tokea Ahamie Media ( Azam Media ) Jamaa Amekuwa Na MAJIPU Ya Hali Ya Juu. Sasa Namshangaa Kitu Kimoja Kasema Hapendi Kupigiwa Simu Sasa Inakuwaje Ukionana Nae Anakupa Business Card Yake Na Huku Anakusititiza Kuwa Muwe Mnawasiliana? Yahaya Mohamed Badilika Mkuu Na Humu JF Najua Upo Na Tabia Yako Hii Ya Kuwa Na MAJIPU Umewaambukiza Hadi Hao Mademu Wapiga Picha Uliotoka Nao Sahara Media Haswa Huyo AIKA KIMARO. Badilikeni!
Teh teh teh nadhani amekusoma jaribu kumpigia simu lazima atapokea.
 
stress za kukosa kazi zitakuua wewe pimbi

Kudadadeki Zako Nina Kazi Kuliko Hata Ya Hao Pimbi Zako. Kwahiyo Watu Wote Humu Wanaozilalamikia Idara au Taasisi Mbalimbali Wanataka Huko Kazi? Nina Mashaka Na Uwezo Wako Wa Kufikiri Na Shule Yako. Wafanyakazi Wao Wenyewe Wanalalamika Itakuwa Akina Sisi Wadau Tu? Tunasema Hivi Ili Wabadilike Kwani Nchi Hii Hatutaki Udini Wala Ukabila Idiot Mkubwa Wewe.
 
Duh, huyu Bakhera ni hatari. Ni Mtanzania halisi huyu. Yaani anataka kila Mtanzania atumie bidhaa yas Azam, Chai, maandazi, chapati, nazi, sembe, tv, mpira na kadhalika.
 
Back
Top Bottom