G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 12,289
- 38,942
citizen tv inaonyeshwa kupitia king'amuzi cha azam tangu jana sa 1 usiku
mkuu naomba nisaidie contacts zao nuchonge nao wanifungulie chanel
citizen tv inaonyeshwa kupitia king'amuzi cha azam tangu jana sa 1 usiku
Aisee! Utafikiri Studio za Aljazeera. Shikamoo Bakhressa.
Kakulipa Tsh Ngapi Kuja KUMTOLEA Mapovu Ya Kumtetea Humu? Utake Ukatae Dr. Dau Ni Mdini, Narudia Ni Mdini Namalizia Ni Mdini Pure.
Nna mahaba nae.
Kila atajwapo JK lazima uje mbio mbio Una nini naye?
Pamoja na ubora wa vifaa ambao unasisitizwa sana katika uzinduzi huu, utendaji kazi hasa katika utangazaji, utafutaji na uwasilishaji habari ni vya muhimu zaidi.
Habari zinazofuatiliwa na zenye tija kwa jamii ndicho kinachotambulisha chomo kizuri cha habari.
kazi kwenu Azam Media.
mkuu naomba nisaidie contacts zao nuchonge nao wanifungulie chanel
nategemea waajiriwa dini haitokua kigezo ili kuajiriwa.
Hilooo, ukome
si unajua huwa anakulaga pande mbili yule.. si unaona alienda pigwa bomba
Lakini JK alitakiwa awe Kahama Shinyanga kwenye maafa ya mafuriko ambako watu zaidi ya 40 wamekufa na madhara mengine makubwa. Hiyo kazi ya kufungua studio angemwachia makamu au kama ni lazima iwe yeye basiingeahirishwa. Kama ingekuwa ni wakati wa msiba wa Komba angeacha kwenda msibani na kwenda kufungua studio. Waliokufa Shinyanga nao ni watanzania kama Komba. Aende akasukume harakati za matibau na misaada kwa waathirika. Asije akatukumbusha ya Mwinyi wakati ule watoto wa Shauritanga walipoteketea kwa moto yeye aliendelea kutembelea kiwanda cha bia kana kwamba hakuna balaa lililotokea. Malalamiko yalipotokea ikaelezwa eti ratiba ilikuwa imepangwa. hata hivyo hoja ikawa je kama siku hiyo angekufa mwanae au mkewe angeendelea na ratiba ya kutembelea kiwanda cha bia? Hivyo hata hili la JK kwenda kuzindua studio badala ya kwenda kwenye maafa wasitwmbie habari ya ratiba. Ameishia kutuma salam za rambi rambi tu redioni. Haitoshi aende field
Aisee! Utafikiri Studio za Aljazeera. Shikamoo Bakhressa.
nategemea waajiriwa dini haitokua kigezo ili kuajiriwa.
nna mahaba nae.
kampe 0715....
Naskia ndo ugonjwa wake...
Hata babu ssssssyaaa aligombana nae kwa hako kaugonjwa ka 0715...
Kuna kamanzi fulani ka mkuu kalikuwa kanakaa shimo laudongo kameshavuta siku mingi kwa kale kaugonjwa ketu. Ila kaliacha katoto kadogo babu alikula 0715... Mkuu akaskia ndo ikawa bifuuu mwishowe segreyyyaaa!!!
N.B: NASKIA KUMBE NA HAKO KATOTO KALIKOZALIWA NA KENYEWE KALIVUTA MANA MAMA HAKUWA NA KINGA
stress za kukosa kazi zitakuua wewe pimbiTena Hapo NSSF Kwa Dr. Dau Ndiyo Balaa Bora Hata Ya ( Azam/Wadini Media ).Kwa Dau Ukifika Tu Kuuliza Kutuma Maombi Kwanza Pale Pale Mapokezi Unaulizwa Swali La Kizushi La Kuhusu Jina Lako Na Ole Wako Uanze Kusema Naitwa Frank Utaona Jinsi MIMACHO Inavyotolewa Kwako Lakini Ukitaja Jina La Nabii Suleiman Utaona Unavyopokelewa Kwa Bashasha Na Unaweza Hata Ukapewa Na Nauli Ya Kurudia. Ukweli Ndiyo Huu Hata Kama Mtachukia! Mimi Nawapasulieni Tu Ukweli.
Wakenya wamenunaje?
umeshamuuliza mama'ko kuhusu mtandao aliokuwa akitumia baba'ko? Maana nna uhakika baba'ko humjuwi na mpaka sasa umeshaoneshwa mababa kama sita hivi na wote unaambiwa "haya mwamkie baba'ko".
Hapo sasa!