Uzinduzi wa Studio mpya za Azam Media

Uzinduzi wa Studio mpya za Azam Media

Pole Mkuu huo ni msongo wa mawazo baada ya kukosa ajira usikate tamaa utapata kazi komaa!

Kuajiriwa Kwangu Na Rais Wangu Kagame Kunanitosha Na Natekeleza Tu Majukumu Yangu Bila Hofu Yoyote. Nyie Hamshangai Tu Nipo Humu 24/7 Usiku Na Mchana Lakini Nyie Mnahangaika Kuamka Asubuhi Kwenda Mjini Kuhangaikia Mshahara Wa Tsh Laki 7 Ambao Ukikatwakatwa Take Home Yenu Inakuwa Tsh 320,000/=! Tena NINA WASANIFU KULIKO MNAVYODHANI Humu Jamvini. Mavaluvalu Wakubwa Nyie.
 
ufahari ni upi hapo ?!kuangalia DSTV au citizen kuongea kiswahili fasaha?!Kama kuangalia DSTV ndio unatafsiri ufahari u need medication

Kweli Nimeamini UKITUPA JIWE GIZANI NA UKISIKIA MTU ANALALMIKA YALAAAAAAAH! BASI UJUE LIMEMPATA. Dstv Ya Kuangalia VIBANDA VYETU VILE UMIZA?
 
Pia angeitwa na Prof. Muhongo ili azungumzie kuhusu watanzania wanaosindika juice akiwemo Bakhresa!
 
Habari wakuu,

Leo ni uzinduzi wa studio mpya za Azam zilizopo Tabata Dar es Salaam, wazo ambalo lilitolewa March 8, 2014 na tenda hio kupewa kampuni kutoka Uingereza na kuigharimu Azam zaidi ya bilioni 53. Kulingana na maelezo ya Tido ndio studio bora zaidi Tanzania mpaka sasa. Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais Jakaya Kikwete. Kuna wageni wengi waalikwa wakiwemo James Mbatia, Mwigulu Nchemba, Prof Lipumba, Filbert Bayi, Jamal Malinzi, Taji Liundi na wengineo.

View attachment 232326
================

Mwigulu: Mmeonyesha uzalendo katika matangazo, mwekezaji aliewekaza katika studio hii ameonekana kuwa na mafanikio kila anapowekeza kwenye sekta nyingine, tupo kwenye safari kuifanya nchi kuwa ya kiwango cha kati, tunahitaji serious investors ambao ni watanzania na wataajiri wafanyakazi wa kiwango cha kati.

Mbatia: Kazi kubwa ya vyombo vya habari kuhabarisha, kuelimisha na kuburudisha, vyombo kama hivi vinafikisha taarifa mapema

Prof J (Mwanamuziki): Azam anazidi kuvuka mipaka na kuuza kazi zetu nje, tuendelee kuwapa sapoti.

Mpinga: Itasaidia katika kuelimisha, kwa upande wangu naomba pia wajikite katika kuelimisha mambo ya barabarani
bil 53 ????????
 
Teh teh teh nadhani amekusoma jaribu kumpigia simu lazima atapokea.

Sasa Kama Napigiwa Simu Na Marais Paul Kagame, Yoweri Museveni, Katibu Mkuu Wa EAC Dr. Richard Sezibera Na Balozi Wa Rwanda Hapa Kwenu Tz Huyo Yahaya Mohamed Kwangu Anajaa Ktk Kiganja Kipi? Nyie Potezeni Tu Muda Wenu Na Mimi Humu Kisha Mfukuzwe Kazi. Mimi Humu Ndiyo Kazini Kwangu au Ofisini Kwangu Na Nazichanga Mno Kupitia UPOPOMA Wenu.
 
Bado anachangamoto ya ziada kufika alipo ITV kwa kua kwanza Azam TV wao wanapatikana katika vizimbuzi vyao tu tofauti na hao ITV wanaopatikana karibia kila kizimbuzi cha hapa nchini

Mkuu....kila hatua moja huanzisha nyingine....mimi naona wameanza vzr....Chamuhimu BAKHRESA ampe nafasi TIDO afanye kz yake....naamini AZAM TV itakuwa imara sana...lkn akiingilia Majukum kwa maslahi ya CCM atapoteza....muda mfupi aliokaa TBC watu tulikubali kz yake Tatizo NCH hii ni CCM
 
Umenena mkuu!wengine ni kutafuta sifa tuu eti wamesaidia jamii kwa kuwapa ubwabwa diamond ukiuliza ajira,kodi anazolipa hakuna

Wewe umewahi kwenda japo kituo cha watoto yatima hata mara moja? Wanaofanya hivyo wasibezwe hata mara moja! Hata vitabu vya Mungu vinatutaka tufanye ivyo., Ilasijaon ktk kitabu cha Mungu tunahimizwa tujnge studio! Anyway, kwa akili yako ya Bongolala sio kosa lako
 
Hapo ndipo uwezo wako wa kufikiri ulipoishia

Unapomuelezea kitu mpvmbavu, lazima ushuke kwenye level yake ili aweze kuelewa!
Yaonyesha hii timu ya wapvmbavu mko wengi zaidi ya nilivyodhani.
 
Hongera Azam media. Nayaona mapinduzi katika tasnia ya habari yanakuja.
Lakini jamani tuwe wakweli kidogo na tuzingatie uhalisia. Bilioni 53?! Kweli!? Yaani milioni 53,000?!
 
Kudadadeki Zako Nina Kazi Kuliko Hata Ya Hao Pimbi Zako. Kwahiyo Watu Wote Humu Wanaozilalamikia Idara au Taasisi Mbalimbali Wanataka Huko Kazi? Nina Mashaka Na Uwezo Wako Wa Kufikiri Na Shule Yako. Wafanyakazi Wao Wenyewe Wanalalamika Itakuwa Akina Sisi Wadau Tu? Tunasema Hivi Ili Wabadilike Kwani Nchi Hii Hatutaki Udini Wala Ukabila Idiot Mkubwa Wewe.
IDIOT? Kwa uandishi wako na wewe ni msomi? wagalatia mna kazi sana.
 
Sasa Kama Napigiwa Simu Na Marais Paul Kagame, Yoweri Museveni, Katibu Mkuu Wa EAC Dr. Richard Sezibera Na Balozi Wa Rwanda Hapa Kwenu Tz Huyo Yahaya Mohamed Kwangu Anajaa Ktk Kiganja Kipi? Nyie Potezeni Tu Muda Wenu Na Mimi Humu Kisha Mfukuzwe Kazi. Mimi Humu Ndiyo Kazini Kwangu au Ofisini Kwangu Na Nazichanga Mno Kupitia UPOPOMA Wenu.
Mimi binafsi wala simfahamu huyo Yahya kwanza ni nani.
 
Unapomuelezea kitu mpvmbavu, lazima ushuke kwenye level yake ili aweze kuelewa!
Yaonyesha hii timu ya wapvmbavu mko wengi zaidi ya nilivyodhani.
Ukiwa unaoga bafuni halafu kichaa akaja akachukua nguo nawe ukaanza kumfukuza ukiwa uchi, hapo watu watajua kichaa ni yupi? Siwezi kubishana na wewe kwasababu watu watashindwa kututofautisha!
 
Back
Top Bottom