Nampongeza sana kwa kweli kwa huo uwekezaji.
Ila nasikia katika kuajiri kuna ka ukweli kuwa eti kama wewe sio Timu Barakashia ama sio Timu hijabu hupati kazi.
Nasikia wale wote wauuza ICE CREAM kwenye vitoroli wote ni Timu Barakashia. Nitaanza utafiti wangu kabla ya kununua nitakuwa namuuliza muuzaji jina lake, halafu nameza, nikifika pembeni kidogo naandika kwenye kitafutari changu cha mistari mikubwa na midogo.
Nasikia kwa upande wa TIDO MHANDO ilikuwa haina jinsi, japo nasikia kulikuwa na ubishi sana, wenzetu wengi walipinga MGALATIA kupewa hiyo nafasi. Lakini mauwezo yake ndo ikabidi wamuweke, baada ya kufanya vizuri BBC, TBC MCL. Kiukweli jamaa ana uwezo. Nasikia SALIM KIKEKE akiondoka BBC atakuja kuchukua nafasi hiyo.