Uzinduzi wa Studio mpya za Azam Media

Uzinduzi wa Studio mpya za Azam Media

Lakini JK alitakiwa awe Kahama Shinyanga kwenye maafa ya mafuriko ambako watu zaidi ya 40 wamekufa na madhara mengine makubwa. Hiyo kazi ya kufungua studio angemwachia makamu au kama ni lazima iwe yeye basiingeahirishwa. Kama ingekuwa ni wakati wa msiba wa Komba angeacha kwenda msibani na kwenda kufungua studio. Waliokufa Shinyanga nao ni watanzania kama Komba. Aende akasukume harakati za matibau na misaada kwa waathirika. Asije akatukumbusha ya Mwinyi wakati ule watoto wa Shauritanga walipoteketea kwa moto yeye aliendelea kutembelea kiwanda cha bia kana kwamba hakuna balaa lililotokea. Malalamiko yalipotokea ikaelezwa eti ratiba ilikuwa imepangwa. hata hivyo hoja ikawa je kama siku hiyo angekufa mwanae au mkewe angeendelea na ratiba ya kutembelea kiwanda cha bia? Hivyo hata hili la JK kwenda kuzindua studio badala ya kwenda kwenye maafa wasitwmbie habari ya ratiba. Ameishia kutuma salam za rambi rambi tu redioni. Haitoshi aende field

Umesahau Kuwa Yeye Ni Mr. Popularity Na Prestige?
 
kwanza kabisa nawapongeza sana [azam media] kwa kitendo cha kumchukua tido mhando hakika huyu bwana ataleta mageuzi makubwa sana kwenye kampuni ihi ya [azam media]

mfano mzuri ni alipokuja [tbc] sote tuliona mapinduzi makubwa aliyo yafanya pale [tbc] na kukifanya kituo cha [tbc] kuwa bora kabisa kwa wakatiule tofauti na sasa,

chakuzingatia ni uongozi wa [azam media] kumpa huyu bwana uhuru na ushirikiano mzuri katika utendaji wa kazi,

hapa natagemea kabisa kwa ubunifu wa tido hata sasa ligi ya uingereza tutaanza kuipata kupitia vingamuzi vya [azam media] na kuongeza soko la wateja kwa wingi kabisa,

hongera sana [azam media] na ongera nyingi kwa bwana bakresa,
 
Kikwete atajisikiaje kumkuta Tido hapo huku akiwa amemfukuza kuwa hajui kazi?
 
nategemea waajiriwa dini haitokua kigezo ili kuajiriwa.

TIDO Muhando Muislamu?

Nyie wagalatia ndio maana mnakufa maskini kwa roho korosho.

Bakhresa kaajiri WAKRISTO wengi kuliko Mtanzania yyt ktk Kazi zake.
Nenda Ofisi za Kijitonyama Utakuta waislamu pale wa kuhesabu lkn WAKRISTO zaidi ya asilimia 90%.

Wewe na wenzako Umaskini na ugalatia utawamaliza Fikra.
 
azamlaunch1.jpg azamlaunch2.jpg
 
Tena Hapo NSSF Kwa Dr. Dau Ndiyo Balaa Bora Hata Ya ( Azam/Wadini Media ).Kwa Dau Ukifika Tu Kuuliza Kutuma Maombi Kwanza Pale Pale Mapokezi Unaulizwa Swali La Kizushi La Kuhusu Jina Lako Na Ole Wako Uanze Kusema Naitwa Frank Utaona Jinsi MIMACHO Inavyotolewa Kwako Lakini Ukitaja Jina La Nabii Suleiman Utaona Unavyopokelewa Kwa Bashasha Na Unaweza Hata Ukapewa Na Nauli Ya Kurudia. Ukweli Ndiyo Huu Hata Kama Mtachukia! Mimi Nawapasulieni Tu Ukweli.

Mkuu,

Kwani NSSF anayeajiri ni DR. Dau au ni utaratibu uliowazi wa kuajiri kulingana na maelekezo ya idara ya utumishi, tunapenda sana kulalamika bila kuangalia mfumo mzima wa kuajiri ulivyo. Kwa Bakharesa siwezi kuongea kitu maana sijui HR strategy yao lakini kwa taasisi ya serikali kama NSSF unamlalamikia Mkurugenzi mkuu ambaye saa nyingine anaona majina ya waajiriwa wakati wa kusign barua nafikiri tunakosea na tunajishusha hadhi yetu kuwa hatujui kwamba kuna mifumo inayofuatwa.

Haiwezekani Dr. Dau akafanya shortlisting, akaita watu akawafanyia interview yeye na kuidhinisha yeye, hii ni taasisi kubwa yenye miongozo ambayo inakaguliwa na taasisi mbali mbali za serikali kama CAG kwanini hawaoni mnachokiona nyinyi, tuweni objective kwenye discusion zetu ili mtu yeyote anayesoma anaweza kuna kuwa unaelewa mambo mbali mbali yanavyoendeshwa.

Kulalamika kila siku kuwa Dr. Dau anaajiri waislaam peke yake wakati mnajua kuwa sio yeye anayefanya process ya ajira nzima ni kutomtendea haki na kujidhalilisha sisi wenyewe kuwa uelewa wetu ni mdogo
 
DSTV naangalia news kila siku citizen never miss yani mpaka raha ukiangalia wanavyoongea kiswahili watangazaji

Kumbe Wenye Tabia Za Kuwa Na MAJIPU ( SIFA / UFAHARI ) Mpo Wengi!
 
Kila atajwapo JK lazima uje mbio mbio Una nini naye?

Unauliza Mbwa Kwa Chatu? Bado Kuna Nafasi 5 Za Mwisho Za Uteuzi Ktk Nafasi Mbalimbali Hivyo Usishangae Watu Kumshobokea Humu.
 
Kwanini hakuna waalikwa kutoka Chadema? Mi mpaka hapo sijaona uwiano ktk uwakilishi nahisi sijawakilishwa, Ni mtazamo wangu usiathiri wa mwingine yeyote.
 
Unazidi kujichanganya yeye kama mfanya biashara kama angekua haajiri kwa mujibu wa sifa(angalia post yako #11 ) angefiakje hapo. Huyu mtu ameanza biashara zake tokea miaka ya sabini na kipindi chote hicho amekua akiajili kulingana na mahitaji yake na ndo chachu ya mafanikio yake.
Hongera Azam na Tido Ni somo kwa Jk na ccm waliokuhujumu wakiongozwa na Membe kwa kuamini Tido ni mtu wa Lowassa wakamfukunze na kwa bakhresa sasa
 
Mkuu,

Kwani NSSF anayeajiri ni DR. Dau au ni utaratibu uliowazi wa kuajiri kulingana na maelekezo ya idara ya utumishi, tunapenda sana kulalamika bila kuangalia mfumo mzima wa kuajiri ulivyo. Kwa Bakharesa siwezi kuongea kitu maana sijui HR strategy yao lakini kwa taasisi ya serikali kama NSSF unamlalamikia Mkurugenzi mkuu ambaye saa nyingine anaona majina ya waajiriwa wakati wa kusign barua nafikiri tunakosea na tunajishusha hadhi yetu kuwa hatujui kwamba kuna mifumo inayofuatwa.

Haiwezekani Dr. Dau akafanya shortlisting, akaita watu akawafanyia interview yeye na kuidhinisha yeye, hii ni taasisi kubwa yenye miongozo ambayo inakaguliwa na taasisi mbali mbali za serikali kama CAG kwanini hawaoni mnachokiona nyinyi, tuweni objective kwenye discusion zetu ili mtu yeyote anayesoma anaweza kuna kuwa unaelewa mambo mbali mbali yanavyoendeshwa.

Kulalamika kila siku kuwa Dr. Dau anaajiri waislaam peke yake wakati mnajua kuwa sio yeye anayefanya process ya ajira nzima ni kutomtendea haki na kujidhalilisha sisi wenyewe kuwa uelewa wetu ni mdogo

Kakulipa Tsh Ngapi Kuja KUMTOLEA Mapovu Ya Kumtetea Humu? Utake Ukatae Dr. Dau Ni Mdini, Narudia Ni Mdini Namalizia Ni Mdini Pure.
 
Zinafunguka wapigie simu wakuhamishie azam play by default wameweka watu wote kwenye 15000. Mie nazipata baada ya kahamishiwa azam play
Nashukuru mkuu, ningeomba uniwekee contacts zao ili niwavutie waya maana najaribu kupekua nimekwama kuziona. Samahani lakini
 
DSTV naangalia news kila siku citizen never miss yani mpaka raha ukiangalia wanavyoongea kiswahili watangazaji

citizen tv inaonyeshwa kupitia king'amuzi cha azam tangu jana sa 1 usiku
 
Back
Top Bottom