stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,765
Tunaomba ajira ziwe kwa madhehebu yote
Ila Waache Udini Wao Wa 95%.
Wakuu fungueni vituo vyenu sio kuanza kumpangia mtu mali yake afanye vipi, wakati yule ni mfanyabiashara anajua nini anachofanya.
Ukiangalia makampuni yake yote hata yale yaliyokua Africa mashariki wakurugenzi watendaji karibia wote ni wanaenda KANISANI.