Uzinduzi wa Studio mpya za Azam Media

Uzinduzi wa Studio mpya za Azam Media

Hili umelitoa wapi? au kuzunguka kote huko ulikua unataka kuongeela hilo? Nadhani ungejiongeza kidogo kwenye ufahamu wa wafanya biashara. Wao kipaumbele chao kikubwa ni faida hayo dini hayawahusu. Kuna watu walikua wnasema kua Bakhresa haweza kukopa mikopo yenye riba kwa sababu imani yake hairuhusu kula wala kutoa riba, na wengine wkaja na tuhuma kama zako. Wabongo tuko busy tunasema kua anaajili kwa kigezo cha dini wakati huo huo watu wanatoka kenya wanakuja kuchukua ajira kiulani. Kama huamini nenda uone idadi ya wakenya waliopo na uliza ni dini gani, sisi tuko busy na maneneo wenzetu wanatoka mbali wanakuja kuchangamkia fursa.
Kwa wadau mbalimbali , sijafanya research ndio sababu nikasema kama. nawe ya wakenya yametokea wapi? Hiyo tena ni topic nyingine. Issue ni kufuata vigezo na si dini kwani atahari yake ni kubwa kuliko unavyofikiri.
 
Kiukweli huyu jamaa anajitahidi sana na quality ya kila anachogusa
 
Azam TV wamezindua listudio likuuuubwa la kisasa - kushinda kituo chochote kile katika ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati,na inaonekana wamejipanga maana personnel yao unaona professionals watupu.

According to CEO Tido Mhando,wanakusudia kuifanya Azam TV kuwa BBC ya Tanzania, na pia Al-Jazeera na CNN ya Afrika Mashariki na Kati.

Thank you Azam TV,bila shaka mtatuponya na machengachenga ya TBC na watangazaji wao wasiojua lugha ya Taifa.

Naweza kutabiri pia Mengi anaweza kuanzisha fujo flan na hawa jamaa na baadae tusishangae akisema anatishiwa kuuawa.

Pia Rais Kikwete atakuwa anajisikia aibu kumfukuza Tido TBC,sasa utaalam umehamia Azam TV na TBC inakufa,kweli aliyepewa kapewa tu huwezi kumzibia baraka zake kwa Mungu.

WELCOME Azam TV - a mere concept 2 yrs ago and now a media company with 250 employees today -FORMIDABLE LEAP!
 
namuona mh Alhaj super said salim bahressa anaongea now.
 
Pamoja na kwamba wamefungua hilo listudio,lakini bado TV yao inashida kubwa tu.Waanze kunyoosha matatizo yao.

Na usiusemee MOYO wa mtu mwingine kama umeamua kuipa credit AZAM Tv ,basi usimuingize Mengi huko.Na kwa uhakika naweza kusema Mengi anaweza akawa na UHUSIANO mzuri maana Channels zake zote zinaonyeshwa na AZAM Tv lakini mpaka hii laeo STAR TV haionyeshwi,sasa mwenye wivu ni yupi hapo?
 
mkuu citizen unaingalia kupitia kisambuzi gani? mara ya mwisho kuiona ilikuwa lini?

DSTV naangalia news kila siku citizen never miss yani mpaka raha ukiangalia wanavyoongea kiswahili watangazaji
 
Nimeona JK anahojiwa LIVE katika uzinduzi huo anachekacheka kana kwamba anazindua National Television.
 
Azam TV wamezindua listudio likuuuubwa la kisasa - kushinda kituo chochote kile katika ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati,na inaonekana wamejipanga maana personnel yao unaona professionals watupu.

According to CEO Tido Mhando,wanakusudia kuifanya Azam TV kuwa BBC ya Tanzania, na pia Al-Jazeera na CNN ya Afrika Mashariki na Kati.

Thank you Azam TV,bila shaka mtatuponya na machengachenga ya TBC na watangazaji wao wasiojua lugha ya Taifa.

Naweza kutabiri pia Mengi anaweza kuanzisha fujo flan na hawa jamaa na baadae tusishangae akisema anatishiwa kuuawa.

Pia Rais Kikwete atakuwa anajisikia aibu kumfukuza Tido TBC,sasa utaalam umehamia Azam TV na TBC inakufa,kweli aliyepewa kapewa tu huwezi kumzibia baraka zake kwa Mungu.

WELCOME Azam TV - a mere concept 2 yrs ago and now a media company with 250 employees today -FORMIDABLE LEAP!

Umeandika vizuri sana kasoro hapo ulipomwingiza Kikwete.

Huo ni ujuha wa hali ya juu kutaka kutia siasa katika mambo kama haya.

Kikwete kawakaa sana rohoni, hakiwapiti mpaka mumtaje! Mnanshangaza!
 
Bado anachangamoto ya ziada kufika alipo ITV kwa kua kwanza Azam TV wao wanapatikana katika vizimbuzi vyao tu tofauti na hao ITV wanaopatikana karibia kila kizimbuzi cha hapa nchini
 
Angalienieni Sana Msije Mkanunuliwa Na Liccm Alafu Likawaalibia Marengo, Cc Tukiona Mlipendelea Liccm Tunang'atuka.
 
Bado anachangamoto ya ziada kufika alipo ITV kwa kua kwanza Azam TV wao wanapatikana katika vizimbuzi vyao tu tofauti na hao ITV wanaopatikana karibia kila kizimbuzi cha hapa nchini

Najua Mzee Tido Mhando yuko pale we subiri uone. Tido ni mbunifu sana. Anajua anachokifanya. BBC Swahili ladha hii unayoiona ni Ubunifu wake.Jamaa namkubali sana
 
tunamuombea kwa mungu aendelee kudumu
manake anaonyesha tanzania inatakiwa iweje.
Thats bravo sheikh
 
Sounda good!! Wasiingiliwe na jinamizi la siasa wakaharibu taaluma zao.
 
Najua Mzee Tido Mhando yuko pale we subiri uone. Tido ni mbunifu sana. Anajua anachokifanya. BBC Swahili ladha hii unayoiona ni Ubunifu wake.Jamaa namkubali sana

Hata akiwepo lakini sio waTanzania wote wanaiona Azam TV tofauti na ITV au Star TV ambazo zinapatikana kwenye ving'amuzi karibu vyote hapa nchini hivyo zinapata kujitangaza zaidi kuriko hiyo
 
Back
Top Bottom