Uzinduzi wa Studio mpya za Azam Media

Uzinduzi wa Studio mpya za Azam Media

Wapenzi mpira kwa uwekezaji huu naamin ili kuteka soko la Afrika mashariki na kati wataanza kurusha ligi pendwa kama Epl na UEFA.... Tido ni chaguo sahihi kuipeleka Azam tv hatua nyingine... Hongera sana Azam Media Group...
 
Umeandika vizuri sana kasoro hapo ulipomwingiza Kikwete.

Huo ni ujuha wa hali ya juu kutaka kutia siasa katika mambo kama haya.

Kikwete kawakaa sana rohoni, hakiwapiti mpaka mumtaje! Mnanshangaza!
Duuuuh?
 
Wapenzi mpira kwa uwekezaji huu naamin ili kuteka soko la Afrika mashariki na kati wataanza kurusha ligi pendwa kama Epl na UEFA.... Tido ni chaguo sahihi kuipeleka Azam tv hatua nyingine... Hongera sana Azam Maria Group...

Kweli hongera sana Azam Media Group........
 
Ila Mwambieni Huyo MSHAMBA Yahaya Mohamed Ambaye Ndiyo Bosi Kwa Wanahabari Hapo Aache Tabia Yake Ya Kujisikia ( MAJIPU ) Hadi Kufikia Kusema Kuwa Hapokei Simu Na Hata Ukimpigia Simu Inaita Tu Na Hapokei Awe Anakujua au Hakujui. Huyu Jamaa Tokea Apate Shavu Hapo Kwa ( Azam Media ) Amebadilika Mno Na Si Yule Yahaya Mohamed Niliyemwacha SAUT 2009 Na Hata Alipokuwa Hapo Sahara Media Ada Estate Jamaa Alikuwa Mtu Poa Na Bonge La Homeboy ILA Tokea Ahamie Media ( Azam Media ) Jamaa Amekuwa Na MAJIPU Ya Hali Ya Juu. Sasa Namshangaa Kitu Kimoja Kasema Hapendi Kupigiwa Simu Sasa Inakuwaje Ukionana Nae Anakupa Business Card Yake Na Huku Anakusititiza Kuwa Muwe Mnawasiliana? Yahaya Mohamed Badilika Mkuu Na Humu JF Najua Upo Na Tabia Yako Hii Ya Kuwa Na MAJIPU Umewaambukiza Hadi Hao Mademu Wapiga Picha Uliotoka Nao Sahara Media Haswa Huyo AIKA KIMARO. Badilikeni!
 
AZAM kwenye king'amuzi chao hawana jipya. Pamoja na kuongeza bei bado channels tano hazionekani!!
 
Kwa studio kama iyo hao watangazaji sasa inabidi wakajifunze kwa wenzao wa citizen ya kenya wanavyojiachia kwa kutangaza na lugha sahihi . Sio hapa watangazaji hawajui hata kutofautisha R NA L yani huwa inakera sana..ukiangalia news citizen yani unasikia raha kwa kiswahili chao sahihi

Hamna kinachonikera km kumsikia mtangazaji akisema, "naendaga, tunakulaga ,tunachezaga". Citizen wako vizuri mno, km kiswahili ni kiswahili kweli, English ndio umefika.
 
Mimi kwangu Siwezi siwezi kuyaita ni Mafaniko ya MTZ na wala sioni cha kujivunia hapo, kwani Bakhresa Ni Mwarabu/Muhindi ana atabakia kuwa Mwarabu/Muhindi kwanza hata maana ya AZAM siijui ni nini, si ajabu maana yake Niga mjinga, huwezi jua!
 
Hongereni Sana Azam Tv

Kweli wanastahili hongera, nami nawapongeza sana, ni uwekezaji mkubwa, na risk nayo ni kubwa, changamoto zipo naamini wamejipanga kuzitatua kila zinapojitokeza, wawasikilize wadau ambao kwa sehemu kubwa ni wateja wao, wawe neutral na waripoti habari kikamilifu, ila wasisahau Tanzania kwanza.
 
Kwa studio kama iyo hao watangazaji sasa inabidi wakajifunze kwa wenzao wa citizen ya kenya wanavyojiachia kwa kutangaza na lugha sahihi . Sio hapa watangazaji hawajui hata kutofautisha R NA L yani huwa inakera sana..ukiangalia news citizen yani unasikia raha kwa kiswahili chao sahihi
Ndugu SIERA, umenikumbusha baba aliyenunua viatu vya kuchezea mpira (siksimeno) kwa US $400 vya mwanae eti akiamini ataweza kucheza kama Messi!

 
Aubona haulizi kuwa dr dau ameajiri wAkristo wangapi

Tena Hapo NSSF Kwa Dr. Dau Ndiyo Balaa Bora Hata Ya ( Azam/Wadini Media ).Kwa Dau Ukifika Tu Kuuliza Kutuma Maombi Kwanza Pale Pale Mapokezi Unaulizwa Swali La Kizushi La Kuhusu Jina Lako Na Ole Wako Uanze Kusema Naitwa Frank Utaona Jinsi MIMACHO Inavyotolewa Kwako Lakini Ukitaja Jina La Nabii Suleiman Utaona Unavyopokelewa Kwa Bashasha Na Unaweza Hata Ukapewa Na Nauli Ya Kurudia. Ukweli Ndiyo Huu Hata Kama Mtachukia! Mimi Nawapasulieni Tu Ukweli.
 
Mkuu vipi na hizi chanel ambazo hazifunguki hata kama umelipia 20000?
Zinafunguka wapigie simu wakuhamishie azam play by default wameweka watu wote kwenye 15000. Mie nazipata baada ya kahamishiwa azam play
 
Sasa hivi wamesitisha mwatangazo mpaka hapo watakapokua na kisimbuzi chao, waligoma baada ya mitambo ya analojia kuzimwa. Wapo katika mchakato wa kuzindua kisimbuzi chao mda si mrefu, sina uhakika kama baada ya kuja na kisimbuzi chao watapatikana tena kwenye visimbuzi vingine.

Wamesharudi Hewani Sasa Citizen Tv Na Wale Wenzao Wote. Usilalamike Tu Humu Je Umeshalipia Startime au Zuku au Polarization Intra Search Yako? Kama Hujalipia Sema Tukulipie Utupunguzie Mikelele Na Milawama Yako Humu.
 
Back
Top Bottom