Zanzibar 2020 Uzinduzi wa kampeni za CCM Zanzibar: Mwinyi kuhakikisha Zanzibar inanufaika na bahari, kuleta Upendo na amani

Mwinyi amepita Zanzibar tena kwa kishindo kikubwa mno

Hakika mwinyi unakubalika ukweli tu useme kweupe
 
“Tumeongeza idadi ya wananchi wanaopata maji safi na salama vijijini kutoka asilimia 60 Mwaka 2015 hadi kufikia asilimia 72 Mwaka 2020. Kwa upande wa mijini idadi ya wananchi wanaopata maji safi na salama imeongezeka kutoka asilimia 80 Mwaka 2015 hadi kufikia asilimia 87 Mwaka wa 2020.” Dkt Mwinyi Zanzibara.

Huyo ni raisi mtarajiwa wa Zanzibar Dr. Mwinyi
 
Hahahahaha kile call center ya CCM inafanya kazi, nimecheka sana jinsi walivyojifungulia uzi, wakajichekesha na kucheka yenyewe!!

Nyuzi mafunza tupu ya Lumumba hahahahaha!
 
 
Wanachama kwenye picha wengi wao hawaonyeshi kama ni wazanzibari.
 
Kwa hakika kila jambo na wakati wake ule wakati ambao watanzania waliusubiri ili waweze kufanya maamuzi yao ya kuwachagua viongozi wenye hoja madhubuti na kuwaacha vibaraka na wasaliti wa nchi ndio huu sasa.Hivi tunawezaje kumchagua mtu ambae ana hubiri uvunjifu wa amani kwa taifa letu ana hubiri wazi wazi juu ya kuuvunja muungano wetu .hili naamini watanzania hawatafanya makosa ikifika tarehe 10/09/2020. Watamchagua Dr.John Pombe Magufuli Rais wa Jamhuri na Dr.Husein Ally Mwinyi Rais wa Zanzibari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…