Zanzibar 2020 Uzinduzi wa kampeni za CCM Zanzibar: Mwinyi kuhakikisha Zanzibar inanufaika na bahari, kuleta Upendo na amani

Chagua CCM
Chagua Dr. Hussein Mwinyi
Chagua Magufuli
#Anakubalika
#MtuWaWatu
#YajayoNineemaTu
#KuraYaNdiyoKwaMwinyi
#KuraYaNdiyoKwaMagufuli
#Mwinyi2020
#TwendeNaMwinyi
@ccm_tanzania
@hpolepole
@SuluhuSamia
@DrHmwinyi
@MagufuliJPView attachment 1567706
Chagua CCM, Chagua Mwinyi
IMG-20200912-WA0237.jpg
 
"Masuala ya rushwa, wizi na ubadhirifu hayakubaliki na ninawaahidi sitawavumilia na kuwafumbia macho wale wote watakaojihusisha na vitendo hivyo. Sitakuwa na aibu wala muhari kwa mtu."

“Ndugu zangu nchi yetu ina amani, nchi yetu ina utulivu, nichukue fursa hii nimpongeze Rais wa Awamu ya 7 Dkt Shein kwa kuhakikisha kwamba ameituliza nchi yetu katika amani kwa kipindi chote cha utawala wake.”
Dkt Mwinyi Zanzibar
 
Uchaguzi wa Zanzibar ni atakae shinda Pemba ndio mshindi, ni mbinu ambayo Maalim Seif amekuwa akiitumia miaka mingi na haijawahi na sidhani kama mwaka huu itamuangusha, pia kwa kupitia mgeni huyu Dr Huseni Mwinyi.

Mwaka huu nadhani Mambo yanaenda kisomi zaidi, siku hizi watu wanaangalia zaidi Sera za mtu na sio kujulikana kwake.
Maalim seif kwa jinsi tu alivyoanza ni dhahiri kuwa Hana Sera zenye mashiko n kwa maana hiyo tayari ashafeli pakubwa hata kabla ya uchaguzi.

Kwa nyomi iliyopo hapa mbele ya Mwinyi ni dhahiri kuwa watu wengi wamevutiwa na Sera zake na wamamuunga mkono.

IMG-20200912-WA0229.jpg
IMG-20200912-WA0242.jpg
IMG-20200912-WA0229.jpg
IMG-20200912-WA0242.jpg
 
" Ndugu zangu kufanya kazi kwa mazoe, vitendo vya rushwa, na wabadhilifu wa mali za umma sito wavumilia nitawawajibisha"

“Mtakaponichagua lazima tuhakikishe kwamba amani inatawala kwa sababu bila amani hakuna maendeleo”.

"Katika kuyatimiza haya Serikali haiwezi kufanya pekee yake. Serikali inayokuja itaongeza ushirikiano na Sekta binafsi na wanaDiaspora wazanzibar."

Dkt Mwinyi Kutoka Zanzibar.
 
"Mtakapo nichagua nitapinga vitendo vya uzalilishwaji kwa watoto, uonevu na unyang'anyi pamoja na kuwajali watu wenye mahitaji maalum"

“Hatuwezi kufanikiwa katika haya tusipowajibika kila mtu kwa nafasi yake. Viongozi lazima wawajibike kwa maeneo wanayoyaongoza, wafanyakazi lazima wawajibike pale walipo, wafanyabiashara, wakulima, kila mmoja wetu akiwajibika tutaukuza uchumi huu kwa haraka kama tunavyotarajia. “
Dkt Mwinyi Zanzibar
 
Nimefurahishwa na hotuba ya mgombea URaisi wa CCM Dkt Hussein A Mwinyi kwani ameonesha ukomavu mkubwa wa kutambua Wazanzibari wanahitaji ni na kiongozi wa aina gani.
IMG-20200912-WA0024.jpg
 
Aliyoyaongea Mgombea Urais wa Zanzibar Dkt Hussein Ali Mwinyi Kwenye Hotuba Yake ya Kwanza ya Ufunguzi wa Kampeni zake za Urais Kutoka Viwanja vya Demokrasia, Kibandamaiti, Zanzibar. Kutoka Zanzibar.
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2020-09-12 at 17.08.49.jpg
    WhatsApp Image 2020-09-12 at 17.08.49.jpg
    53.6 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2020-09-12 at 17.08.50.jpg
    WhatsApp Image 2020-09-12 at 17.08.50.jpg
    48.5 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2020-09-12 at 17.08.51.jpg
    WhatsApp Image 2020-09-12 at 17.08.51.jpg
    51.5 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2020-09-12 at 17.08.52.jpg
    WhatsApp Image 2020-09-12 at 17.08.52.jpg
    51.4 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2020-09-12 at 17.08.54.jpg
    WhatsApp Image 2020-09-12 at 17.08.54.jpg
    53.7 KB · Views: 1

Similar Discussions

Back
Top Bottom