Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,943
Hapa itakuwa mtaa wa Wuhan au Guangzhou! 🤣 🤣 🤣Karibuni kwenye vyakula vitamu aina ya wadudu mbalmbali kama inzi, siafu,mende, funza, jongoo nakadalika.View attachment 1857062View attachment 1857064View attachment 1857065View attachment 1857067View attachment 1857068View attachment 1857070
Asante sana,lakini hizo chapati za shemeji mbona nyeupe sana au kamera?View attachment 1857085
Karibuni uzunguni kwa shemeji.
ni ufundi wake tu wa mapishi akiwa ndani ya kanga moja ...Asante sana,lakini hizo chapati za shemeji mbona nyeupe sana au kamera?
jamani nimepita kwenye uzazi ndiyo maana
Na mimi nataka niwe twin wa tatu😁nimeongezeka twin
Sema masoda yameharibu shoo
Kitimoto na mirinda nyeusi wapi na wapi mkuu?..mwageni maji ya gold/machozi ya simba hapo mezani
Hatumii maji hayoKitimoto na mirinda nyeusi wapi na wapi mkuu?..mwageni maji ya gold/machozi ya simba hapo mezani
Kidding.