Uzi wa vyakula tu

Chaliifrancisco

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
15,340
2,000
Nipe utaratibu. Kg 3 kupungua umejitahd sn. Hatua kubwa hy
Kunywa kwanza dawa ya kusafisha tumbo ukae siku moja then unywe dawa ya minyoo.

Dawa ya kusafisha tumbo zipo za kienyeji kama huku kwetu umasaini kuna lodwaa au mukutan (hii mukutan usitumie mswahili unaweza kufa 😂). Au za kisasa tumia castor oil. Dawa za minyoo zipo nyingi.

Maji ya kunywa unachanganya na apple ciser vinegar kijiko cha chakula kwa kila glass. Pia maji unakunywa kwa wingi ili usished water weight uwe una loose fat.

Diet unakula low carb food na fruits mara mbili kwa siku asubuhi na jioni/usiku ila angalau iwe ni masaa manne kabla ya kulala. Unaweza ku refer kwenye picha zangu za last week kuona aina ya vyakula unavyotakiwa. Then kula kwa kiasi sio unakula kumaliza.

Kuhusu mazoezi unafanya cardio mara mbili kwa siku asubuhi na jioni kila siku angalau kwa dakika 45. Ukiweza kufanya jogging na kuruka kamba itasaidia zaidi. Jogging unaweza kufanya kwa mtindo wa ku sprint kwa dakika moja then una jog dakika mbili then una sprint tena dakika moja unarudia hiyo sequence kwa dakika 20 hadi 30. Hii ufanye angalau mara moja ila kama unaweza ufanye asubuhi na jioni.

Kumbuka kuwa cardio/aerobics ni lazima hata kama utakuwa umefanya hii ya high intensity.

Ukimaliza week moja usikimbilie kula high carb foods angalau kwa siku 7 nyingine.

Samaki kipande kimoja kwa mlo mmoja kiwe 140grams kama unaweza kupima ila kama huwezi basi kiwe kidogo tu sio mpande mkubwa. Nyanya mbili medium size. Pia kumbuka vyakula vyako hutakiwi kuweka chumvi wala mafuta.

Picha sina ngoja kuna mtu nimuombe anitumie maana nilimtumia. Akituma nitaweka.

Usipo cheat hapo hata siku moja matokeo lazima yawe chanya. Yani lazima ufanikiwe kwa zaidi ya asilimia 80.

Day 1.
IMG-20210610-WA0024.jpg

Day 2.
IMG-20210610-WA0025.jpg

Day 3.
IMG-20210610-WA0026.jpg

Day 4.
IMG-20210610-WA0028.jpgDay 5.
IMG-20210610-WA0030.jpgDay 6.
IMG-20210610-WA0031.jpgDay 7.
IMG-20210610-WA0029.jpg
 
Chaliifrancisco

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
15,340
2,000
Nipe utaratibu. Kg 3 kupungua umejitahd sn. Hatua kubwa hy
Pia kuna diet nyingine ya tofauti. Hii nayo unaanza na kusafisha tumbo na kutumia dawa za minyoo.

Procedure za mazoezi ni zile zile isipokuwa kwenye kula sasa hii inakuwa affordable zaidi kwa watu wote maana unakula ndizi mbivu moja na glass ya maziwa fresh (yawe skimmed milk kwakuwa yatakuwa hayana mafuta sana, au kama hutapata skimmed haya ya kawaida unaweka na maji kiasi).

Kula ndizi mbivu moja na glass ya maziwa kisha baada ya lisaa kunywa maji glass tatu kisha baada ya hapo ni dash mpaka tena usiku unarudia hivyo hivyo. Maji haya usiweke kitu kunywa yakawaida ila avaoid kunywa maji ya baridi.
 
Hornet

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
22,406
2,000
Kunywa kwanza dawa ya kusafisha tumbo ukae siku moja then unywe dawa ya minyoo.

Dawa ya kusafisha tumbo zipo za kienyeji kama huku kwetu umasaini kuna lodwaa au mukutan (hii mukutan usitumie mswahili unaweza kufa 😂). Au za kisasa tumia castor oil. Dawa za minyoo zipo nyingi.

Maji ya kunywa unachanganya na apple ciser vinegar kijiko cha chakula kwa kila glass. Pia maji unakunywa kwa wingi ili usished water weight uwe una loose fat.

Diet unakula low carb food na fruits mara mbili kwa siku asubuhi na jioni/usiku ila angalau iwe ni masaa manne kabla ya kulala. Unaweza ku refer kwenye picha zangu za last week kuona aina ya vyakula unavyotakiwa. Then kula kwa kiasi sio unakula kumaliza.

Kuhusu mazoezi unafanya cardio mara mbili kwa siku asubuhi na jioni kila siku angalau kwa dakika 45. Ukiweza kufanya jogging na kuruka kamba itasaidia zaidi. Jogging unaweza kufanya kwa mtindo wa ku sprint kwa dakika moja then una jog dakika mbili then una sprint tena dakika moja unarudia hiyo sequence kwa dakika 20 hadi 30. Hii ufanye angalau mara moja ila kama unaweza ufanye asubuhi na jioni.

Kumbuka kuwa cardio/aerobics ni lazima hata kama utakuwa umefanya hii ya high intensity.

Ukimaliza week moja usikimbilie kula high carb foods angalau kwa siku 7 nyingine.

Samaki kipande kimoja kwa mlo mmoja kiwe 140grams kama unaweza kupima ila kama huwezi basi kiwe kidogo tu sio mpande mkubwa. Nyanya mbili medium size. Pia kumbuka vyakula vyako hutakiwi kuweka chumvi wala mafuta.

Picha sina ngoja kuna mtu nimuombe anitumie maana nilimtumia. Akituma nitaweka.

Usipo cheat hapo hata siku moja matokeo lazima yawe chanya. Yani lazima ufanikiwe kwa zaidi ya asilimia 80.

Day 1.
View attachment 1814493

Day 2.
View attachment 1814496

Day 3.
View attachment 1814498

Day 4.
View attachment 1814499

Day 5.
View attachment 1814502

Day 6.
View attachment 1814504

Day 7.
View attachment 1814506
nikila hivi naweza kuzimia kwa kutetemeka na njaa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom