Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,608
- 24,195
[emoji39] u mpishi mzuriii.
sio sana Mkuu tunajikongoja
[emoji39] u mpishi mzuriii.
Acha hiz mambo za diet utakuja kufa ndugu yangu...naona unacheza na vitamin c kwa kwenda mbele
Kausha mzee. Hii ni kwa week moja tu sio siku zote.Acha hiz mambo za diet utakuja kufa ndugu yangu...naona unacheza na vitamin c kwa kwenda mbele
Pa1 pa1 kaka.Kausha mzee. Hii ni kwa week moja tu sio siku zote.
Vipi hapo Moro? Leo hujavusha manzi gero?Pa1 pa1 kaka.
Doh udenda umenitokaWeekend mood. [emoji12]View attachment 1810234
Nangoj dinnerMaandalizi ya dinner View attachment 1810624
Kwio kwenye ubora wakeMaandalizi ya dinner View attachment 1810624
Hilo supu, kwanza upate na scones mbili hivi upate appetizer! 🙆🏾♂️😋Maandalizi ya dinner View attachment 1810624
Hichi kitu acha kabisa, yaani utamu tyuu hapo! 😁