Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,448
Karibuni
Sijawahi kuonja hiko
Nilionja siku moja, nikakinai. Wana harufu nyingine ya baharini vile. 😂Sijawahi kuonja hiko
Kabisa, niko na ugali wangu hapa nalumangia tu.
Kwa mwendo huu endelea kuishi kwa jina baba na mwana na roho mtakatifuVya kushushia pilau la sita!
View attachment 1792876
Watam mnoSijawahi kuonja hiko
Ndio utam wenyewe huoNilionja siku moja, nikakinai. Wana harufu nyingine ya baharini vile.![]()

Wacha utani chief! Yaani blueband tu! (Kilainishi cha koo)Kwa mwendo huu endelea kuishi kwa jina baba na mwana na roho mtakatifu
Amen
Alafu nilichopenda ni blue band tu.















Ah, mi sirudii ile kitu. Bora pweza! 😁Ndio utam wenyewe huo![]()
Pakavu sana mkuu... 😂 👏🏽
Mshana yuko wapi? Anavyopenda Sea food sasa

Karibu