Matunda na mboga za majani yako wapi?Unatafuta bawasiri?View attachment 1792745
Tuendelee Kula
Za mwenyewe hizo mami, ila naweza tengeza copy ukija. 😂 Karibu!
Hao fry na kitunguu tu, basi ngoma juu hiyo! 🤣
Za mwenyewe hizo mami, ila naweza tengeza copy ukija.Karibu!
AsanteMie hapo hio ndizi tu. Imekalia utamu utamu



Matunda na mboga za majani yako wapi?Unatafuta bawasiri?

Hivi kuna birihani la samak![]()
La Leo vp tamu?View attachment 1792745
Tuendelee Kula
Lipo. Upate la jodari au nguruHivi kuna birihani la samak![]()
Acha tuna kamlenda pembeni
Hiyo keki tu, nimeizoom! 😬Vya kushushia pilau la sita!
View attachment 1792876
Keki ilikuwa ya mtoto hiyo!Hiyo keki tu, nimeizoom!![]()