Dah, safi sana!🔥
Belinda anakula nyama kama Simba!😰😰😰
Ongeza kasamaki dogo usitutanie
Supu kongoro, utumbo, mchemsho kienyejiNyama,samaki
Bila nyama tena sikukuu.Belinda anakula nyama kama Simba!😰😰😰
😋😋😋
Hahaha sasa babu watu tupo wengi inabidi kidogo kidogo kila mtu apate.Ongeza kasamaki dogo usitutanie
Basmat sio.
Bila nyama shehe inakua shida
Hapo kwa kuku, either wamekuzulumu au umejizulumu mwenyewe! 🤣 🤣 🤣
Hahaha kwa kiasi tu mkuu.Hapo kwa kuku, either wamekuzulumu au umejizulumu mwenyewe!![]()
![]()
![]()