Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,522
- 5,576
Wee, linapikwaje?Ninajua tu inapikwa km mboga
Halafu huwa lina utomvu
Wee, linapikwaje?Ninajua tu inapikwa km mboga
Dah,hao samaki wametoa macho hadi nimewaogopa.
Duh, nilkuwa nasinzia, nilipoucheki msosi tu, duh usingizi huo, kwao! 🤣 🤣 🤣
Nimekiiba lakini ntajaribu kukieleza kisela sela hivi... 😂
Vifungua kinywa.
Mkaribie na eid View attachment 1784163View attachment 1784164View attachment 1784165View attachment 1784166View attachment 1784167



aiseee
Langu hilo. Nmelitamani jana mchana hio
Kiepe yai bwana. HalikinaishiDuh, nilkuwa nasinzia, nilipoucheki msosi tu, duh usingizi huo, kwao!![]()
![]()
![]()
Singida mambo kumbe sio mabaya..
Mkuu unapenda uji aisee! 😀Tunywe uji wa lishe mapemaView attachment 1789158