Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,530
- 81,257
Nyumbani tu mkuu.Mwenye hii nyumba tuambie ukweli hii ni nyumba au mgahawa.
Nyumbani tu mkuu.Mwenye hii nyumba tuambie ukweli hii ni nyumba au mgahawa.
Yaani hii nyumba *5Nyumbani tu mkuu.
Nyumbani kwa mpemba pekee ndo kawaida sana.Kawaida sana.
Yanapikwa na maganda,??
Yanapikwa na maganda,??


Ok shukrani
Hayo maganda yake ndiyo maharage yenyewe..
Ni matamu hayo maharage asikwambie mtu.
Yanapikwa na maganda,??



Nayapenda sana
Hayo maganda yake ndiyo maharage yenyewe..
Ni matamu hayo maharage asikwambie mtu.
Ugonjwa wangu ila ndo sijawahi zipatia hata sielewi nakwama wapi!


Ugonjwa wangu ila ndo sijawahi zipatia hata sielewi nakwama wapi!
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
ShukraniJaribu hii
menya ndizi zako vizuri toa moyo kwenye ndizi yako osha
panga majani ya ndizi kwenye sufuria yako panga ndizi zako vzr kwenye sufuria
Kuna Nazi chuja tui mara2 tui zito na tuikawaida Anza kuweka tuikawaida kwenye sufuria yenye ndizi bandika jikoni
weka chumvi kidogo Sanaa na sukari.saizi yako(kisia)
usifunike acha zichemke Hadi ziive vizuri epua
chukua sufuria Safi weka tui lako zito weka CASTAD kijiko kimoja,hiriki, ZABIBU KAVU kiasi maziwa unga vijiko 2 koroga vizuri bandika jikoni ianze kuchemka motomdogo uku unakoroga usiachie hata DK moja Hadi tui liwe zito Sanaa weka sukari kiduchu kwenye tui koroga zaidi na uepue mimina tui lilotoka jikoni kwenye ndizi zako na tikisa sufuria usikoroge tayari kwa kuliwa
ubarikiwe sana mpendwa.View attachment 1756217
Shughuli ya busati siyo mchezo
Yaani nayapenda mno sikosi kuyala per dayMatango yashanishinda kula yaani nitajitahidi wapiiii