dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
Maandazi yametulia yanavutia sana!!
Maandazi yametulia yanavutia sana!!
Khaaaaa!!!Rafiki umeanza haya mambo ya kukomoana lini?
Hii ni kitimoto ya Pemba au kibosho?🙃🙃🙃
Tatizo huwa unakula kitimoto wakati kwa shem wetu ni haram!😖😖😖Duh honey![]()
Hii nyama una utata sehemu mweeeeeeh,
Huu uzi watu washaingiza mawazo machafu
Mbona mimi naona nyama tu!au ni huu uoni wangu hafifu!?!





😂😂Sehemu gani cocastic ?Hii nyama una utata sehemu mweeeeeeh,
Daaah hapo lazima iume....
Hapo upande wa juu wa plate.
😁😁😁Naweka turubai muda si mfupi![]()
HahaHapo upande wa juu wa plate.
Hiyo ni nyama tu mama kama nyama nyingineHapo upande wa juu wa plate.
Hayo mahindi sharti yawe teke mixer chai ya rangi yenye tangawizi ya kutosha

