Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Asubuhi njema

Kingsmann
FB_IMG_1615286577304.jpg
 
kwanini hauli kwa kutumia uma? nimejikuta nacheka maana mimi nimejifunza nimeshindwa huwa naishia kuaibika tu
nimejifunza nimeshindwa pia
kuna sehemu ilikua ya heshima sana ukaletwa uma na kisu,
kwa kweli nilitumia mkono japo kundi lote lilibaki kunishangaa
 
Back
Top Bottom