Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,735
- 76,360
Mwaka huu Inshallah, japo siku moja nitakuwa mgeni wako!Tunda la mkaimati.
Marhaba yaa Ramadhan View attachment 1739296



Mwaka huu Inshallah, japo siku moja nitakuwa mgeni wako!Tunda la mkaimati.
Marhaba yaa Ramadhan View attachment 1739296



Niko njianiMkuje na vitafunwa
View attachment 1739415
Huyu moo kwa vyovyote vile alikuwa jike halafu alikuwa bado kigoliStreet supuView attachment 1740162
Duuuh mpishi ni uvivu au alikua kachoka?Mboga zake hazina mvuto angependezesha hata moja.Maharage yako wimama dagaa kama misumari, bamia linahuzunika yaniameshindwa kuunga mboga watu wale wafurahieUgali wa kiswahili kabisa, karibuni tujunuike.View attachment 1730045
Homemade?
Duuuh mpishi ni uvivu au alikua kachoka?Mboga zake hazina mvuto angependezesha hata moja.Maharage yako wimama dagaa kama misumari, bamia linahuzunika yaniameshindwa kuunga mboga watu wale wafurahie
Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
Iko kitobo kwioNiko njianiView attachment 1740284
Chips ndiyo viepe ehh
Hahahahahahahahahaha