Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Kumbe uko majuu hukoHaaah
Kumbe uko majuu hukoHaaah
Yop madame,ntarudi baada ya uchaguzi wa 2025 panapo majaaliwa InshAllah 🤲🏼Kumbe uko majuu huko
Wacha bwana

Karibu SanaYop madame,ntarudi baada ya uchaguzi wa 2025 panapo majaaliwa InshAllah![]()




Uko vizuri
Mimi ndio sitaki kusikia kabisa habari za visu sijui umma![]()




Uwiii mkamu![]()
I seenkamu tunaongeza unene tu
Cha ajabu mimi sinywi mtindimoja wapo ya chakula ninachopenda
A wapi mimi siwezitujifunze lakini![]()


Pumbu za nguruwe, nimezichemsha na kuzikatakata vipande. Nataka niunge rost, pilipili, carrots, nyanya, limao kwa mbali, tangawizi nk
View attachment 1730800