Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,561
- 23,989
Cha ajabu mimi sinywi mtindi
Nkamu unapitwa sana mwe
Cha ajabu mimi sinywi mtindi
Alisikika mdada mmoja hivi Simara ..utaoa kweli wewe![]()
..

Nilishashindwa kabisa kunywa mtindiNkamu unapitwa sana mwe

Bro punguza broo

UwiiPumbu za nguruwe, nimezichemsha na kuzikatakata vipande. Nataka niunge rost, pilipili, carrots, nyanya, limao kwa mbali, tangawizi nk
View attachment 1730800

Daaa hii ndio nimetoka kuipiga sasa hivii hahaha
Nipe za mbuziZa kondoo xinafaa?
Nashindwa kutofautisha kati ya Chinese na spinach
Ugal mdogo sana mamaa.umenitamanishaaaaa
Ukishushia na maji baridi unashiba kabisaUgal mdogo sana mamaa.umenitamanishaaaaa
Spinach inanoga kama mchicha hivi na majani yake malaini halafu yamejikunja Sana.Nashindwa kutofautisha kati ya Chinese na spinach
Leta Mnafu hizo nyingine chafuSpinach inanoga kama mchicha hivi na majani yake malaini halafu yamejikunja Sana.
Chinese ni Pana hivi na ngumu ngumu kiasi