Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,585
- 12,439
Hii ni kuku ugali..sio ugali kuku

🤣🤣🤣Hii ni kuku ugali..sio ugali kuku![]()
Hapa unatafuta kuongeza ujazo wa "lubricant".
Acha tu yaniMlenda![]()
Tena uliotiwa karangaAcha tu yani

Missyrose umeolewa?
hahah upate na ka shombo ka kurumagilaTena uliotiwa karanga![]()
hahah upate na ka shombo ka kurumagila

Okay..sina swali lingine mheshimiwaYes boss..![]()

Nilitaka nimwambie sijaoa...ila kaolewa tayariiUnataka usemaje chapombe![]()
Duuuh huo ugali....uwe mara nne yake ndo ntajisikia kushba kdogo ?Lunch ya kibabe
Kingsmann View attachment 1726405
Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app