Hahahaha ankoo mhmhmh
Karibuni...tarehe si rafiki...it's January
Asante.. Nishaponagachalii pole
Duh.. Hata vidole vya kile huvijui man..Uo mkono na mguu na poz alilikaa mbona kama mwanamke
Nitumien hata glass ya majiJanuary hatupiki mama..
Dadeki arafu anaepiga huo msosi wa nguvu ni demBila shaka ni kibudu kwa huo mchinjo hakuna swali
Ahsante MkuuKaribuni wapendwa
Ni dinner au kipo kingine kinakuja?Karibuni wapendwa
Ahsante Bibiye
Karibuni fresh from jikoni
Hahahahaha kunywa maji na mihogoJaman njaa..... Hamna msosi leo
Unashindia maji tuJanuary hatupiki mama..