Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,000
- 828,752
- Thread starter
- #15,921
Kwishney...ukiona manyoya?Hahahahah maana ya finito
Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
Kwishney...ukiona manyoya?Hahahahah maana ya finito
January ipo na heshima yake.. mlenda huo
Hizi bamia zimeiva sana. Napenda sana bamia mimi
Dah aisee, bonge ya msosi
HAPPY NEW YEAR 2021
hahahahahaha
Ntamu sana...Karibuni hapa na fanda baridiiiii my day is madeView attachment 1669916
Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app

Hizo ni dagaa zimeanza kuliwa jikonimbona kachumbali na samaki ndogo, yaani nimekitamanii mwee![]()

Harakati za magetoni na Ollachuga OcView attachment 1663325
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app


Upo vizuri binti, hii wapi home made au???Karibuni hapa na fanda baridiiiii my day is madeView attachment 1669916
Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app