Mbwembwe za kiwango cha lami!Rafiki hiyo ni mishkaki au ni nini?Sie tumeamka hivi na chai ya tangawizi pembeni....View attachment 1627316
Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
Mbwembwe za kiwango cha lami!Rafiki hiyo ni mishkaki au ni nini?

Mishkaki ya Prawns rafiki na boga la kuchemsha. Amna ni kingi icho ungeshiba sanaOk, maana mimi hapo ni matonge 2 tu kimeisha![]()

Hapo safiiii

, mwanamke jiko banah, mwanamke ukiweza cheza na jiko basi umebeba 70% ya kupendwa na mwanaumeKuna vitumbua nilikula kwa mhindi ArushaJamani humu tunakula tunavyotaka na madoido kibao ila utotoni tukumbuke vizuri ile misosi,sielewi ilikua ni njaa ama kitu gani.
Mbeya 80s kulikua na mzee mmoja akitoka mabatini huko anaenda mpaka Iyunga na kisado kina kababu tuliita ni meatballs,yule mzee sijawai kuelewa alikua anatumia viungo gani,nimejaribu kuvuta hisia sana VIUNGO katumia nikaambulia tangawizi,vitunguu na pilipili kibao ila kwingine sijaelewa.nimeshatengeneza zaidi ya mara 10 sijapata ile ladha.sijui yule mzee alitumia kitugani.
ni mara moja tu nilitwanga kila kitu ground mwenyewe ndio kidogoo ilikaribia,zile kababu sijawai kusahau milele.
Mzee labda hayupo ila huko aliko tunamkumbuka.
WEWE UNAMKUMBUKA MTAALAM GANI UTOTONI?
![]()
Arusha Kuna mama alikua anauza vitumbua vitamuu amenifanya nisofurahie vingine nnavyokula....miaka imepita.Alikua anauza barabarani tu opposite na ofisi za maji....nilikua sikosi,alinizoea akawa ananiwekea pembeni kila sikuJamani humu tunakula tunavyotaka na madoido kibao ila utotoni tukumbuke vizuri ile misosi,sielewi ilikua ni njaa ama kitu gani.