Sio fresh chifu.Kumbe hii ndiyo Instagram account yako ya misosi,View attachment 1593323
Nmeiona vant hapo mkuu.kuna usalama kwel
Nyama chache mkuu
Siwezi kula zaidi ya vipande hivyo kwa mlo mmojaNyama chache mkuu
🤣🤣🤣🤣Nmeiona vant hapo mkuu.kuna usalama kwel
Acha kulia gizani.Kuna siku utakula konokono kama mzee Tolu(kitabu cha darasa la pili)
Tolo Alia gizaniAcha kulia gizani.Kuna siku utakula konokono kama mzee Tolu(kitabu cha darasa la pili)







Mzee Tolu alilia gizani ili wana familia wasimuone,akaishia kula konokono.Uchoyo ni noma sanaTolo Alia gizani
Umenikumbusha enzi hizo miongo 30 iliyopita![]()



Halafu siyo "Tolu"Mzee Tolu alilia gizani ili wana familia wasimuone,akaishia kula konokono.Uchoyo ni noma sana![]()

Giza likatanda rum kwangu.