dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
Mmh...
Dunia hadaa! Utadhani maisha yapo simple kwa kupitia hii thread




Nitakuwa sifungui picha zakoView attachment 1592416
View attachment 1592420
View attachment 1592421
Dinner is served usiku mwema jamani



Na kweli niwe mpole tu, maana hata ile mali uliyoishuhudia kipindi kile nayo pia nishapokwahahahaha! Kuwa mpole tu brother



Wa nakula milo ya kifalme sana...
Kwani watu hawali?
Daah! AiseeNa kweli niwe mpole tu, maana hata ile mali uliyoishuhudia kipindi kile nayo pia nishapokwa![]()
Kumbe hii ndiyo Instagram account yako ya misosi,
Ndiyo mkuu!Kumbe hii ndiyo Instagram account yako ya misosi,View attachment 1593323
duuuuh mashuzi ya hapoKumbe hii ndiyo Instagram account yako ya misosi,View attachment 1593323
Achakuaibisha watu unavungatu mkuuKumbe hii ndiyo Instagram account yako ya misosi,View attachment 1593323
Amemuaibisha nani?Wapi huu uzi unasema kuwa ni kuposti tu chakula ulichojipikia?Unajiaibisha wewe ambae hujui hata heading ya uzi inasemajeAchakuaibisha watu unavungatu mkuu
Simbaya kwny hot chair sikuoniAmemuaibisha nani?Wapi huu uzi unasema kuwa ni kuposti tu chakula ulichojipikia?Unajiaibisha wewe ambae hujui hata heading ya uzi inasemaje
Naendelea kutupia vitu,wenye nongwa wanywe rojo ya cement!Simbaya kwny hot chair sikuoni
hizo wachache tu tunazielewa😂😂😂Maeneo yangu ya kujidai ndani ya Tandika hizo, zinaitwa hashua!![]()