babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 15,937
- 20,229
Tabu tupu😅😅😅😅😔🙃😁
Tabu tupu😅😅😅😅😔🙃😁
Chief, kiukweli sijapenda kuweka picha halisi, kwasababu maalum.Tabu tupu![]()
Najua mkuu ndo kimyakimya tenaukiweka PG inaweza kulakwako👊
Na Huu mzigo kweeli Redeemer!Time to reedem the lost kgsView attachment 1569065
Mkuu Hamna kazi ngumu kama kuukomboa uzito.Na Huu mzigo kweeli Redeemer!



Mkuu Hamna kazi ngumu kama kuukomboa uzito.
Haijarudi Hata kg 1 bado
Wanene wanahangaika kupungua
Wanene wanahangaika kupungua
Wembamba tunahangaika kuongezeka
Hatari sana, kuna watu huwa wa nakuwa vidudu mtu, ukikonda wanasema una ngoma ukiwa na mwili watumia arv, ukiwa kawaida wanasema ana stress na maisha, daah wali mwangu hawana jema!




Best wishes na kula nyanya ntobe! Ila upate zile chungu uta kaa mkao tuu!
Mimi napambana kurudisha kilo zangu chache zilizopotea ili nirudi nilipokuwa.
Chai kama chai
Aisee weye utapunguza kg 10 kwa week 2
Kilo 80 kwa mwanamke lazima utakuwa na msambwanda heavy weight
Muwe mnataja location ya haya makitu mnafaidi sana
Ndio mboga zangu zileBest wishes na kula nyanya ntobe! Ila upate zile chungu uta kaa mkao tuu!