Uzi wa vyakula tu

Ntamwambia nini mama
Alinipa uji muda mrefu akanisisitiza ninywe kabla haujapoa, nikakwambia nitakunywa.
Sasa umepoa umekakamaa nashindwa kunywa
IMG_20200917_101349_1.jpg
 
Nimeondoa 32kg in 4 months.

Fanya low carb high fat diet na intermittent fasting na mazoezi ya HIIT

Once you get your body into the fat burning (ketosis) zone kupungua inakuwa so easy, almost natural.
Hii comment Ngoja niwaonyeshe dada zangu hapa
Akhsante sana mkuu
 
Kabla sijaanza kupungua sikuwa naamini inawezekana. Niliamini siwezi kujinyima. Kumbe kuna namna unautrick mwili unaacha kusikia njaa, kiasi hapa tunavyoongea nna masaa 48 sijala na sisikii njaa.

So google around, read utapatabtu tricks gani za kuufanya mwili wako upokee mzigo mkubwa.
Yaani nilishagoogle hadi nimechoka..naambiwa tu nile bila mpangilio
 
Unakulaga vyakula vya aina gani? Mara ngapi kwa siku? Unafanya mazoezi yoyote? Vinjwaji gani unatumia?
Vyakula ninavyokula vya kawaida tu kama ugali,wali,nyama,samaki mboga za majani
Asubuhi uji,maziwa fresh nakunywa kila nitakapopata njaa

Sifanyi mazoezi ya Aina yoyote zaidi ya kazi za nyumbani.
 
Ndugu zanguni habarini za mchana ? Nimefanyiwa oparesheni ya kwenye utumbo wangu hivi napaswa kutumia vyakula gani maana na nina wiki ya pili sasa na kuna baadhi ya vyakula naogopa kuvitumia nikihisi vitaniletea madhara .

Karibu kwa mchango wenu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom