wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,008
- 28,342
EwaaKiburu
EwaaKiburu
That's good
Yes mkuu kwa mikono yangu mwenyew..zinapatikana nyumban..welcomMkuu, heshima yako sana.
Hii kitu niwewe umeiandaa kwa mkono wako??
If Yes....
Je bidhaa zako zinapatikana wapi..??
Hehehe hamna cha sherehe wala nn ..weekend moja hyo nilijipikilishaBest sherehe ya nini hatualikani
Tangu mzee Marata aondoke, pale nyama choma haina heshima....![]()
HahahahaN.B Stori na picha wakuu
Nami naambiwa yupo pale jirani, ingawa sijawahi kufika pia sababu naonaga kama pmenikakia kushoto kimtindo...Mi sijatia mguu kuchukua nyama pale tangu mzee aondoke, nasikia yuko pale jirani nami sijaenda hata pale.


WooowwZawadi kwa Inna kutoka kwangu View attachment 1479068
..fanya kweli basi rafikiRafiki hiyo tafunia kwa juice!Woooww..fanya kweli basi rafiki
Hii ni nn magimbi au? Halafu kachumbari haimenywi maganda Lizzy