Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Safi rafiki.Hehehe hamna cha sherehe wala nn ..weekend moja hyo nilijipikilisha
Nimeona
Hujawahi kuula?Nimeona
Nimeutamani
Nitajaribu
Nilishawahi kula mara moja tuHujawahi kuula?

,nilipewa na jiran yangu wa kigogo,na karanga zakeNamimi ni jirani yako ujue nami nipe,nilipewa na jiran yangu wa kigogo,na karanga zake
Hahahaha, kuna kitu hapo bi mkubwa alikua anaita Nswalu ( sijui jina nimepatia) huo km Mlenda , kula sana hmNatural foodView attachment 1478411
Hahahaha, Tabora,Dodoma nadhani unapikwa sana,nilipewa na jiran yangu wa kigogo,na karanga zake
Ila mkuu unafanya na mazoez lakin? Maana menu zako sio ktotokitamb nje nje
Tunaendelea kupambana na covid19 kamandaNaona mkuu unatambaa na ukali![]()
Ila kaka hizi mixing zako dah..inahitaji moyo! Au uko China nini mkuu?
Ma mtumishi,utashiba kweli..?
hapo ushamiss ugali mlenda mara juis yako ya parachichi![]()