Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Hizi za leo tamuHizi zinaonekana tamu.
Zile za Jana nimeishia tu kumwaga..zilikuwa kavu,ngumu





Hizi za leo tamuHizi zinaonekana tamu.





Jamanii bila ugali si watakukondesha sasa.?...pole sana.! Nenda mwaya ukapate kitu roho inapendaWe acha tu
Siku ya 5 hii sijala ugali,sio kawaida yangu kabisa
Zile milkshake zangu nazimiss
Kesho nataka niende mbali huko nikatafute sembe,hapa wanauza dona na mimi dona sili.

Zile za jana zinaonesha zinakaba sana kooniHizi za leo tamu
Zile za Jana nimeishia tu kumwaga..zilikuwa kavu,ngumu![]()


japo ulikuwa na juisi tunda lakini zinakaba sanaJamanii bila ugali si watakukondesha sasa.?...pole sana.! Nenda mwaya ukapate kitu roho inapenda![]()







Zilikuwa mbaya yaani..zinakwangua tu tumboZile za jana zinaonesha zinakaba sana koonijapo ulikuwa na juisi tunda lakini zinakaba sana










Hahahaha , aseeZile za jana zinaonesha zinakaba sana koonijapo ulikuwa na juisi tunda lakini zinakaba sana
Best sherehe ya nini hatualikani
Punguzeni stori humu jamani tunahitaji picha tulie ugali magetoni.






