Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Uzi mzima umeujaza wewe kwa vyakulaJamani![]()
hahhaa hongeta
Umeona unavyonisingiziaUzi mzima umeujaza wewe kwa vyakula


Hmm sawaUmeona unavyonisingizia
Nimejaza mlenda na ubwabwa wa hostel..
Wewe ndiye unaupendezesha huu uzi Sasa![]()
Rafiki ile bia yako pendwa ya lite huwa unapenda kutafunia na chakula gani?hahhaa hongeta
hizo mboga zote ungechanganya tu iwe moja



Kuna Watu wakiingia humu hadi mtu unafurahi..Hmm sawa

Kuku mkavuRafiki ile bia yako pendwa ya lite huwa unapenda kutafunia na chakula gani?![]()
Asante ,next season itakuwa hivyohahhaa hongeta
hizo mboga zote ungechanganya tu iwe moja

itapunguza na Idadi ya vyombo...Asante ,next season itakuwa hivyo![]()
Aww!Evening tea View attachment 1476464

Yap ni kweli,hapa imebidi nimpe jirani anisaidie kuoshaitapunguza na Idadi ya vyombo...
nasikia wanaume mnaogopa kupika sababu ya kuosha vyombo

Evening tea View attachment 1476464

Ma mtumishi,utashiba kweli..?



We acha tuMa mtumishi,utashiba kweli..?
hapo ushamiss ugali mlenda mara juis yako ya parachichi![]()




,sio kawaida yangu kabisa
Hizi zinaonekana tamu.