Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

IMG_20200609_132946_286.jpg
 

Kwahiyo unakuwa na mboga ingine???
Mimi ninaweza ongezea na parachichi pembeni Ila baada ya muda kidogo tu njaa inauma tena as if sikula kabisa.
Nikiwa na mboga nyingine nashiba ila mlenda pekee nakula hadi nachoka ila sishibi
 
Back
Top Bottom