Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
NdiyoHii ni kiepe yai mishikaki?
Si mbali na sehemu hizo.Kwa mpemba Gmboto au Tabata?
Kumbe unajua kiswahil kuna mmoja mwenzenu nilimuandikia hivo
Akhsante
JamaniKumbe unajua kiswahil kuna mmoja mwenzenu nilimuandikia hivo
Akanijibu mwenyewe alidhania nina mtukana







Nakuambia sio nakuoneaJamani
Acha kutuonea basi.
Unatuonea watu wa mbeya weweNakuambia sio nakuonea

Kiti cha Moto

Hahahaha, ewaaa ,karibu ,nikuwekee ya kuchoma ,lost au kavu?Kiti cha Moto![]()
Umeni halili vibayaUnatuonea watu wa mbeya wewe
Kwamba hilo neno hatulijui kweli!?!!
AnhaaaaUmeni halili vibaya
Nilimaanisha kuna jamaa mmoja humu jf ndio alijibu hivo

Roasted one

Hmm wewe naweAnhaaaa
Nikajua ulivyosema "mwenzenu"umemaanisha mtu wa mbeya![]()


Hmm wewe nawe
Mbeya mbeya mpaka keroo







Sio kila mtu anapitia pitia nyuzi na kuna wengine hata Melo hawamjui
Sasa Huyo wa jf huwa hapitii hata nyuzi za Mello watu wanampa kongole kila siku
Nimeshaiacha mbeya Sasa![]()

Kuna mtu hamjui Melo?Sio kila mtu anapitia pitia nyuzi na kuna wengine hata Melo hawamjui
Kuna memba mmoja toka 2015 hadi leo kachangia nyuzi mbili tu uone sasa
