Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,238
- 90,415
Mlenda
Kuna mtu hamjui Melo?
Nyuzi 2???? lazima ana I'd ingine.
Nasubiri

LolSio kila mtu anafuatilia mwingine kajijunga jf hata hajui kama kuna uongozi Mods, au Melo tunatofatina
Sijui kama ana id nyingine, anadai anapenda kusoma tu,

Hawa prawns huwa hawaniishi hamu, juzi tu nimewala



ᵃʳᵉᵉᵐ 
Nimetoa ni Jaribu mpakani njia ya kuelekea Rufiji kuna sehemu ukifika tu hapo jaribu mpaka hiyo cafe si mbali
Tena hiyo chai iwe ya maziwa yenye hiliki na mdalasini kwa mbali




ᵃʳᵉᵉᵐ 
Mbeya asili yenu ni umbeyaLol
Kusoma bila kucomment!??
Impossiblee![]()

Hizi mboga sita,


au ya saba iko pembeni hapo?














ᵃʳᵉᵉᵐ 
Mbeya asili yenu ni umbeya
Ila wewe una vinasaba vya WAHA







hakuna mwanamke asiyependa umbea.

Mimi si mbishi hata kidogo ila naongea ukweli.Ndiyo
Na ikolee majani ya chai.Tena hiyo chai iwe ya maziwa yenye hiliki na mdalasini kwa mbali
ᵃʳᵉᵉᵐ
![]()
Kwenye bakuli kubwa jeupe ni mchuzi na nyama angalia vizuri kamandaHizi mboga sita,au ya saba iko pembeni hapo?
ᵃʳᵉᵉᵐ
![]()