Leo nimependa nipike jeupe, siku nyingine napika kama hili.
Sipendi pilau lenye rangi iliyokoleza kuelekea weusi. View attachment 1469438
Cheese balls watoto wamenambia wanataka hii kitu kesho
MUNGU ametupa neema mazao yanastawi sanaWatu wa mbeya mnapenda kula na vyakula mnavyo vingi
Vizuri sana tena bila kupepesaUnakulaga dona?
Dada nitakuja kukutembelea
Vinini hivi
Jr
Shosti nimekumiss aiseee unapotelea wapiShosti amu nimemiss chapati zako