Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,857
😂😂😂 bora kikosekane kichwa, shingo na mgongo ila sio maini, firigisi na miguu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hii ilikuja bila maini firigisi wala kichwa(nilichukia sana)
Nahisi miguu itakuwa ulikula wewe
Kuku wako kachinjwa Dar, me niko huku Songea nimekula vipi jamani 😀😀