rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 6,108
- 7,788
Hizo mnaita bloccol zina Radha gan iv. Nazionaga kwa tv tuunapika mwenyewe?napenda hizo mboga mboga blokol
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo mnaita bloccol zina Radha gan iv. Nazionaga kwa tv tuunapika mwenyewe?napenda hizo mboga mboga blokol
Yani kila nikikukumbuka..
Jr![]()
Nimekumbuka Beef aisee enzi hizo jeshini tulikuwa tunapewa kwenye makopoNyama ya kusagaView attachment 1450889
Nimekumbuka Beef aisee enzi hizo jeshini tulikuwa tunapewa kwenye makopo
Enz za Mkapa sio leo hiiHilo jeshi litakuwa la nje ya nchi eti?
Hizi nyama unazisaga kwenye nini?Nyama ya kusagaView attachment 1450889
Aisee
Mimi jikoni namaliza maini na miguu.
Wengine butchan hapo hapo wanakuwaga na machine
Mimi jikoni namaliza maini na miguu.




Hii ilikuja bila maini firigisi wala kichwa(nilichukia sana) View attachment 1450918
Mchana mwema