Haya ndo manini
dah bro mshana mpaka nmedondosha mate kwa keyboard
😀😀,viazi havitaki kukaa ndani, au tuviwekee zipu jamaniMy dear nimepika kachori mara mbili lkn zinafunguka viazi vinatoka sasa sijajua ninakosea wapi!?
Mayai ya nyanya yaan iyo ni mboga ya haraka unakata hoho+kitunguu+carrot+ ndio unaweka mayaiHaya ndo manini
😀😀,viazi havitaki kukaa ndani, au tuviwekee zipu jamani
Doctor umekula kuku uliyeletewa kwa ajili ya tiba wewe, afu wa kienyeji huyo aisee😋😋
Waganga mnafaidi sana, hushindwi kumwambia mgonjwa alete mbuzi mweupe kumbe umemiss supu tu dah😀😀, kuku kaliwa mpaka bakuli imebaki nyeupee nilidhani imeoshwaKinachohitajika ni damu tuu sio vipapatio... Nimemla kama simjui
Jr![]()
Hivi hawa wa kisasa nao mnatumia kwenye hizo shughuli?Kinachohitajika ni damu tuu sio vipapatio... Nimemla kama simjui
Jr![]()
Heshima yako bro!
